Lissu kupata msamaha wa Rais?

Lissu kupata msamaha wa Rais?

Muda wa kuwasikiliza nyie wajinga haupo tena!! Nyie mnachezea malaya zenu huko mwenzenu anataabika gerezani mmebaki kukata viuno humu!! Lissu akitoka akafanye mambo yake aachane na nyie mataahira aka keyboard warriors 🚮
makahaba ya ccm mnatafuta wanaume huo msamaha mwambieni mama yenu akapigwe miti na nyinyi machoko huko lumumba
 
Naambiwa mama mwenye huruma, mcha Mungu na mlezi wa kweli wa wana mwenye upendo kwa wote yuko mbioni kuachilia msamaha kwa Mtoto mtundu, mtukutu na mkaidi Tundu Lissu!!

Mtoto akinyea mkono huukati Bali utanawa maji maisha yaendelee…….

Very soon Tundu anapokea msamaha wa Rais!!
Yeye (Samia - Mama muuaji wa ndugu zetu) ndiye aliyejinyea..

Msikilize Wakili Peter Madeleka hapa

View: https://youtu.be/eCxcuqDMftY?si=jt5ije0UyztmghrJ
 
Naambiwa mama mwenye huruma, mcha Mungu na mlezi wa kweli wa wana mwenye upendo kwa wote yuko mbioni kuachilia msamaha kwa Mtoto mtundu, mtukutu na mkaidi Tundu Lissu!!

Mtoto akinyea mkono huukati Bali utanawa maji maisha yaendelee…….

Very soon Tundu anapokea msamaha wa Rais!!
Mwamba GT kulikoni umebadilika hivi? Nakumbukaga uzi wako wa Magufuli ukimuita Sizonje. Umalaya wa kisiasa siyo mzuri.

Bure kabisa!
 
Kwahiyo Uhuru day December 9 mwamba yupo nje sio?
Kosa alilofungwa nalo(Uchochezi) lina dhamana, inawezekana hata huko December isifike. Hii habari ya mama kutaka kumsamehe ni kuonesha tu kuwa mama anajari lakini hiko kitu hakipo kwasababu ma judges wamecheza blunders na waliowatuma na baada ya kuona maoni ya magwiji wa sheria sasa serikali inataka kujisafisha kupitia kinachoitwa msamaha wa rais. Njia yao kubwa ilikuwa kumpoteza mhe. Lissu katika ulimwengu wa siasa mpaka 2030 na kupoteza credibility ya kuwa mgombea wa ubunge au urais katika nchi yetu.
Huu ni ukatili mkubwa sana kwa yote yaliyotokea kuanzia Oct 29.
 
Mwamba GT kulikoni umebadilika hivi? Nakumbukaga uzi wako wa Magufuli ukimuita Sizonje. Umalaya wa kisiasa siyo mzuri.

Bure kabisa!

Umeona Uzi wa Sizonje ulivyokua relevant mpaka mwisho? Sasa endelea kufuatilia kwa makini!! Endelea kunywa Mtori nyama ziko chini!!
 
Sikubaliani na hili kwa sifa nzuri ya nchi, amani na usalama wa vijana wetu wanaopitia changamoto za ujana, Lissu aendelee kukaa mpaka atimizie miaka yake minne jela. Hawa wapuuzi wanashirikiana na Wakenya kuchafua nchi kimataifa.
 
Ipi faida ya kuwa na sifa za kugombea katika mazingira ambayo mshindi anapangwa na rais aliyepo madarakan na watu wake ?
Ndiomana qanaojielewa wanadai katiba mpya yenye vipengele au nguvu ya rais kumchagua anayemtaka. Nguvu ya wananchi katika taifa lolote la kidemokrasia lazima iheshimiwe
 
Muda wa kuwasikiliza nyie wajinga haupo tena!! Nyie mnachezea malaya zenu huko mwenzenu anataabika gerezani mmebaki kukata viuno humu!! Lissu akitoka akafanye mambo yake aachane na nyie mataahira aka keyboard warriors 🚮
Tupo nae mwanzo mwisho haturudi nyuma, na yeye anajua wapo watanganyika wananipenda! hatutokata tamaa! Never never !
 
Hapa sasa ndio nazidi kuuelewa huu mchezo wa Samia.

Anachotaka yeye ni aonekane mkubwa kwa Lissu.

Akatafuta namna zote za kuhakikisha anamfunga gerezani.

Ndio ile ajabu ya kesi hii ... hatia anakutwa na kosa lingine tofauti.

Yote ni kutaka mwisho wa siku amuachie kwa huruma yake, wajinga washangilie waseme Samia mama wa huruma...

Then kama Lissu akitoka aendeleze harakati zake wale wajinga wasema huyu nae alisamehewa lakini bado hasikii!

Ila siasa ina michezo flani....
 
Back
Top Bottom