Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,697
- 15,675
Sasa kwanini hamkumuombea ahukumiwe kunyongwa hadi kufa na siku ya kunyongwa aoneshwe laivu ili tuone umwamba wake?Hahitaji, anataka sheria zifuatwe. Huyo sio Mbowe.
Sasa kwanini hamkumuombea ahukumiwe kunyongwa hadi kufa na siku ya kunyongwa aoneshwe laivu ili tuone umwamba wake?Hahitaji, anataka sheria zifuatwe. Huyo sio Mbowe.
Jana Lissu alimsisitizia ndunguru kuwa aweke kwenye rekodi za mahakama kuwa yeye Lissu hajaomba msamaha. Lissu siyo yule makengeza wenu .Naambiwa mama mwenye huruma, mcha Mungu na mlezi wa kweli wa wana mwenye upendo kwa wote yuko mbioni kuachilia msamaha kwa Mtoto mtundu, mtukutu na mkaidi Tundu Lissu!!
Mtoto akinyea mkono huukati Bali utanawa maji maisha yaendelee…….
Very soon Tundu anapokea msamaha wa Rais!!
Huyo ni Joyce Mukya mchepuko wa Sultan MboweLusungo njaa inakufanya umekuwa kama mwanamke kicheche.
Kujipendekeza kwa wanasiasa mwisho wake ni kuchoreshwa 7 kama bado hawajakata utepe
Nakushauri Lusungo linda mgongo wako hali ni mbaya.
Ahukumiwe kunyongwa kwa kosa gani, ama unadhani hizi ni zama za wajinga?Sasa kwanini hamkumuombea ahukumiwe kunyongwa hadi kufa na siku ya kunyongwa aoneshwe laivu ili tuone umwamba wake?
Mnalazimisha kumsamehe mtu asiyetaka, mlizoea kubambikia watu kesi ili wawanyenyekee. Huyo sio Mbowe, huyo amegoma kumsujudia shetani ili apate fahari za dunia.Muda wa kuwasikiliza nyie wajinga haupo tena!! Nyie mnachezea malaya zenu huko mwenzenu anataabika gerezani mmebaki kukata viuno humu!! Lissu akitoka akafanye mambo yake aachane na nyie mataahira aka keyboard warriors 🚮
Mjinga ni wewe unayemsifia mwenzako ni Mwamba wakati anaenda jela miaka minne akitenganishwa na familia yake wakati wewe mjinga, mpumbavu, mshamba, mshenzi umejificha kwa jina bandia JF unajifanya unamuunga mkono! Ahahahahaha!Ahukumiwe kunyongwa kwa kosa gani, ama unadhani hizi ni zama za wajinga?
Sifa za Lissu kugombea Urais ziko pale pale. Hukumu hii haijaondoa chochote.9 December inaweza kufanya jambo je itakua vp swala la mgombea kiti cha uraisi asiwe amewahi kupatikana na hatia na kufungwa jela.
Umetisha sanaHatutaki huo ujinga mmemshindwa kwa risasi, uchawi , majini na Uhaini
Wajinga nyie!
Hata Yesu aliuwawa mbele ya waumini wake, mbona hawakwenda kuzikwa naye wakati alisema alikuja kuwakomboa? Lisu namuunga mkono, hata alipokuwa mbunge sikuwa naingia naye bungeni, na hata akiwa rais sio kwamba nitaenda kulala ikulu. Kama nchi imetulia mnalazimisha maridhiano ya nini?Mjinga ni wewe unayemsifia mwenzako ni Mwamba wakati anaenda jela miaka minne akitenganishwa na familia yake wakati wewe mjinga, mpumbavu, mshamba, mshenzi umejificha kwa jina bandia JF unajifanya unamuunga mkono! Ahahahahaha!
Na Lissu kwa ujinga wake akafikiri Kuna watu nyuma yake wanaomuunga mkono. Jana wakati anapelekwa gerezani kama ana akili atakuwa amejifunza mengi!
Na kupelekwa kwake gerezani atakaposhikwa mgongo na wanaume wenzake nchi IMETULIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!
Kwahiyo unafikiri Lissu ni Yesu? Mmedanganywa hivyo na Dr. Kitima? Ahahahahaha!Hata Yesu aliuwawa mbele ya waumini wake, mbona hawakwenda kuzikwa naye wakati alisema alikuja kuwakomboa? Lisu namuunga mkono, hata alipokuwa mbunge sikuwa naingia naye bungeni, na hata akiwa rais sio kwamba nitaenda kulala ikulu. Kama nchi imetulia mnalazimisha maridhiano ya nini?
Hata Yesu aliuwawa mbele ya waumini wake, mbona hawakwenda kuzikwa naye wakati alisema alikuja kuwakomboa? Lisu namuunga mkono, hata alipokuwa mbunge sikuwa naingia naye bungeni, na hata akiwa rais sio kwamba nitaenda kulala ikulu. Kama nchi imetulia mnalazimisha maridhiano ya nini?
Angekuwa mpuuzi kama Mbowe, jana kwenye mahakama za simu moja asingesema hataomba msamaha. Na uzuri kawaambia majaji wa mchongo wasome hukumu waliyoandikiwa, ikabidi majaji wasome hukumu kwa hasira na fedheha ya hali ya juu ya kuambiwa ukweli mchana kweupe.Lissu amejifunza kutotegemea watu useless Kama nyie!!
Huyu washamkata utepe Toka enzi za MaguLusungo njaa inakufanya umekuwa kama mwanamke kicheche.
Huyu walishamkata utepe Toka enzi za MaguLusungo njaa inakufanya umekuwa kama mwanamke kicheche.