Lissu kupata msamaha wa Rais?

Lissu kupata msamaha wa Rais?

Samia is 🚮🚮🚮🚮
 

Attachments

  • 6EAAAD25-75F4-486D-B694-D612EF3BF570.jpeg
    6EAAAD25-75F4-486D-B694-D612EF3BF570.jpeg
    333.6 KB · Views: 1
Naambiwa mama mwenye huruma, mcha Mungu na mlezi wa kweli wa wana mwenye upendo kwa wote yuko mbioni kuachilia msamaha kwa Mtoto mtundu, mtukutu na mkaidi Tundu Lissu!!

Mtoto akinyea mkono huukati Bali utanawa maji maisha yaendelee…….

Very soon Tundu anapokea msamaha wa Rais!!
Lakini si huwa kuna vigezo vya huo msamaha? Sujavisima, lakini nilimsikia wakili mmoja akisema miongoni mwa vigezo ni tabia njema na angalau mfungwa awe ameshatumikia kifungo chake kwa robo tabu (75%). Nikipata sheria au kanuni zake nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kulieleza hili.
 
Naambiwa mama mwenye huruma, mcha Mungu na mlezi wa kweli wa wana mwenye upendo kwa wote yuko mbioni kuachilia msamaha kwa Mtoto mtundu, mtukutu na mkaidi Tundu Lissu!!

Mtoto akinyea mkono huukati Bali utanawa maji maisha yaendelee…….

Very soon Tundu anapokea msamaha wa Rais!!
Nadhani kama kuna mtu atamshauri hiki kitu "he/she better watch his/her toungue" atakuwa amejipalia makaa
 
Naambiwa mama mwenye huruma, mcha Mungu na mlezi wa kweli wa wana mwenye upendo kwa wote yuko mbioni kuachilia msamaha kwa Mtoto mtundu, mtukutu na mkaidi Tundu Lissu!!

Mtoto akinyea mkono huukati Bali utanawa maji maisha yaendelee…….

Very soon Tundu anapokea msamaha wa Rais!!
hatutaki msamaha tunataka haki!
 
Muda wa kuwasikiliza nyie wajinga haupo tena!! Nyie mnachezea malaya zenu huko mwenzenu anataabika gerezani mmebaki kukata viuno humu!! Lissu akitoka akafanye mambo yake aachane na nyie mataahira aka keyboard warriors 🚮
Mbona bwanako "mwamba" wakati ana kesi ya ugaidi hukuwahi kuandika hivi!!?

Lissu anawatesa sana mamisukule ya "mwamba" tangu achukue jahazi la kuongoza CDM.
 
Mwamba GT kulikoni umebadilika hivi? Nakumbukaga uzi wako wa Magufuli ukimuita Sizonje. Umalaya wa kisiasa siyo mzuri.

Bure kabisa!
Huyo ni sukule la Mbowe.
Tangu Mbowe amepigwa chini kwenye uchaguzi wa CDM, amekuwa anamuona Lissu kama mtu aliyeweka mchanga kitumbua chake.

Wapo wengi wafuasi wa Mbowe ambao hawapo sawa tangu Mbowe apigwe chini.
 
Naambiwa mama mwenye huruma, mcha Mungu na mlezi wa kweli wa wana mwenye upendo kwa wote yuko mbioni kuachilia msamaha kwa Mtoto mtundu, mtukutu na mkaidi Tundu Lissu!!

Mtoto akinyea mkono huukati Bali utanawa maji maisha yaendelee…….

Very soon Tundu anapokea msamaha wa Rais!!
Atapata msamaha kama atakuwa tayari kuomba msamaha. Kama HAWEZI, basi naomba na kisukari chake AFIE huko huko jela!
 
Back
Top Bottom