Naambiwa mama mwenye huruma, mcha Mungu na mlezi wa kweli wa wana mwenye upendo kwa wote yuko mbioni kuachilia msamaha kwa Mtoto mtundu, mtukutu na mkaidi Tundu Lissu!!
Mtoto akinyea mkono huukati Bali utanawa maji maisha yaendelee…….
Very soon Tundu anapokea msamaha wa Rais!!
Lissu ajawahi kuomba msamaha kwenye haki na haitatokea. Huyu Mama anapenda hivyo maana sasa watu wanaona mahakama nayo ovyo tayari ameshauwa bunge