Lissu kuhutubia Bunge la Marekani mwezi April 2019, atakuwa mbunge wa Kwanza mtanzania kuhutubia Congress ya Marekani

#Mpya

MH. TUNDU LISSU KUONGEA NA CONGRESS MAREKANI.

Mh. Tundu Antipas Mwigwai Lissu anatarajiwa kurudi United States of America kuongea na Bunge la Marekani mwezi wa nne mwaka huu.

Akiongea kutokea ofisi zake za Bunge Washington DC leo Ijumaa asubuhi Rep. Christopher Smith- New Jersey amesema Mh. Lissu atapata nafasi ya kulieleza Bunge la Marekani changamoto za Demokrasia Tanzania.

Zaidi, Rep. Smith ameseam Mh. Lissu atatumia muda huo kulieleza Bunge la Marekanai mkasa wote wa tukio la kupigwa risasi kumi na sita.

Mh. Lissu anatarajiwa kurudi USA wiki ya pili ya mwezi wa nne.View attachment 1035689
MUNGU YUPO NA LISSU YUPO NA WATANZANIA.
 
#Mpya

MH. TUNDU LISSU KUONGEA NA CONGRESS MAREKANI.

Mh. Tundu Antipas Mwigwai Lissu anatarajiwa kurudi United States of America kuongea na Bunge la Marekani mwezi wa nne mwaka huu.

Akiongea kutokea ofisi zake za Bunge Washington DC leo Ijumaa asubuhi Rep. Christopher Smith- New Jersey amesema Mh. Lissu atapata nafasi ya kulieleza Bunge la Marekani changamoto za Demokrasia Tanzania.

Zaidi, Rep. Smith ameseam Mh. Lissu atatumia muda huo kulieleza Bunge la Marekanai mkasa wote wa tukio la kupigwa risasi kumi na sita.

Mh. Lissu anatarajiwa kurudi USA wiki ya pili ya mwezi wa nne.View attachment 1035689
CCM pressure juu!
 
Ccm Lissu hajaachika na familia yake ambayo ni watanzania. Ila ameonewa na serikali hii kanyimwa haki zake zote za msingi bila sababu na kama kuna familia iliyonwacha ni familia ya ccm kwa kuwa hawana dhamira ya moyo wanafanyia kazi tumbo. Ccm inabebwa na wakina msukuma, musiba,waitara, etc,etc ni aibu stooping to that level of abuse! Kusema uwongo, kutukana watu, kupika takwimu! For what?????
Ahutubie ila asirudi Tanzania,akae huko huko kwa wakora wenzie.
 
Kabisa na haitakaa itokeee
Lakini cha ajabu Waafrika bado tunaishi kwenye ndoto za kudhani kwamba wanamsaada kwetu
Ndo maana kila shida ama changamoto zinapojitokeza kwenye nchi zetu bado wapo wanaodhani kwamba suruhisho na migogoro yetu ni kwenda kwa Wazungu
Mbaya sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu mbali kote huko, sisi watanzania tu hatujawah kuwa na gud intention kwa Watanzania kuanzia mikataba mibovu kwa kupiga meza za bungeni bila haya, kukumbatia majizi shame shame on us.
 
Nionavyo kwa kuwa watanzania tuliowengi tumekuwa wazalendo kwa miaka mingi na nchi yetu hatujawahi kuwa wanasiasa wa ovyo km Akina Lissu,Zitto,Mdee itifaki imezingatiwa huu ujinga wa kulichafua Taifa letu Tanzania kwa uchu wa madaraka Mungu ataendelea kulichimbia kaburi Li-CHADEMA na atalifukia 2020 halitafufuka tena watabak wanaharakati uchwara.
Nimesoma majibu yako hapo juu na hii ya sasa !! Nikiri kuwa ama una upungufu wa busara au unalazimisha kuwa mjinga.

Kwako wewe taifa ni kummiminia mtu risasi na asihoji ?!
Kwako wewe taifa ni kutokumkosoa kiongozi ?!

Kwa taarifa yako, wanaolichafua taifa, ni wale wanaojaribu kupenyeza utawala wa mkono wa chuma. Ni wale wanaodhani kuua wapinzani wa serikali ni uzalendo. Alphonse Mawazo aliuawa kinyama mchana. Je kuna maendeleo gani Geita ya mfano ?! nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good for him, hilo linatikea wakati wowote, na umedanganya kuwa Lissu atakuwa mbunge wa kwanza wa Tanzania kufanya hivyo. 1978 - 79 kulikuwa na mbunge wa kitanzania alialikwa na ajazungumza hapo congress, huyo mbunge alialikwa na congressman aliyesima nae chuoni usa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaje sasa ndugu yangu #Bashite wacha blah blah
 
Uwezekano wa Wabaya Wa Lisu kuwamo ndani ya C.D.M, ni mkubwa sana.
Wameona karejea tena hewani na anaushawishi mkubwa ndani ya chama kuliko wote waliomo kwa hiyo soln ni kuchochora mapema kwa ajiri ya kulinda heshima yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upepo unabadilika na sasa mnaanza kutapatapa kumhisi lowasa wakati muda wote mnaaminisha watu kwa maneno yenu kuwa mkuu ndiye muuaji, mbona hamueleweki. Au ndo kutapatapa kwa kifo cha CDM???
 
Back
Top Bottom