Washington; Bunge la Congress la Marekani limepitisha kiasi Cha $ 40B kwa ajili ya Ukraine

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
1,114
3,768
Bunge la Congress la Marekani limepitisha msaada wa Dollar Bilioni 40 Sawa na Tsh Trillion 97 kwa ajili ya msaada wa kijeshi Kwa Ukraine. Msaada huu unakuja ikiwa Ni Ombi la Rais wa Marekani Joe Biden kulitaka Bunge Hilo kuidhinisha kiasi Cha $ 33B kwa ajili ya msaada wa kijeshi ya kiutu Chini Ukraine wiki iliyopita.

Akiongea na Kiongozi wa walio wengi kwenye Bunge la Congress la Marekani, Nancy Pelosy Jana Usiku, Rais wa Ukraine alilitaka Bunge la Congress kupitisha msaada huo ili Wanajeshi wa Ukraine waanze kuyakomboa maeneo yaliyotekwa na Urusi ikiwemo kuwafurusha Wanajeshi wa Urusi Mariopul ambao wamewazunguka wapiganaji wa Ukraine kwenye Kiwanda Cha Chuma.

Akiongea na Vyombo vya habari hi Leo,Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lyod Austin,amesema kuwa Msaada huo utajumlisha Silaha za masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia Kilometa 200.

Wataalamu wa Mambo wanasema, Kuna uwezekano wa Marekani kupeleka Arterarry Aina ya HIMIRS ambazo zinauwezo wa Kupiga Crimea. Daraja la Crimea Ni nyendo mhimu kwa Russia kwani linaunganisha Crimea na Urusi. Endapo Marekani itapeleka hata Mfumo mmoja wa HIMIRS,Basi Daraja la Crimea litakuwa mashakani.

Ikumbukwe kuwa, Kwa zaidi ya miezi 2 Sasa, Wanajeshi zaidi ya 500 wa Ukraine walikuwa Nchini Poland na Romania wakipatiwa Mafunzo ya jinsi ya Kutumia Silaha za Marekani.

Katika Ripoti ya Leo,Jeshi la Ukraine limevikomboa vijiji 7 katika mji uliotekwa na Urusi wa Kherson tangu mwezi Machi. Pia Jeshi la Ukraine limedai kuwarudisha nyuma Wanajeshi wa Urusi kwenye mji wa Kharkiv.

The package would give Ukraine more military and economic aid, with $5bn to go towards the global food shortage. US House approves $40bn aid package for Ukraine
 
Naona wanasaidia NAZIs wenzao wenye blue eyes with blonde hairs,,,Palestina miaka nenda Rudi hamna msaada Noma sana
 
Attachments

  • IMG_6601.jpg
    IMG_6601.jpg
    29.3 KB · Views: 24
Putin juzi katika sherehe za victory day aliropoka siri pale aliposema "Tumeivamia Ukreni wakati sahihi kwakuwa Nato ilipanga kutuvamia na kuipiga mpaka Moscow"
Huu ndio ukweli na ni swala la muda Russia lazima ipigwe na ikamatwe kiuchumi na kijeshi na wamangaribi.

Hakuna njia yeyote kwa nchi za magharibi kupata gesi, mafuta, na makaa ya mawe nje ya Russia, hivyo uharibifu uliofanyika Ukreni na gharama zote za vita (misaada yote Ukraine anayoipa kwa sasa) lazima ilipwe na Urusi.

Italipwa vip?
Urusi lazima ipigwe na serikali ya Putin lazima iangushwe pamoja na nguvu ya kijeshi Russia aliyonayo kwa sasa lazima ipotezwe.
Hapo sasa ndipo nchi za magharibi na USA watajichukulia mafuta, gesi na makaa ya mawe ya Urusi bure kwa miaka kadha ili kurudisha gharama zao.

Russia aliingizwa kwenye mtego na yeye akajaa mzima mzima. UN imeshadhibitisha kuwa hakukuwa na sababu yeyote ile kwa Urusi kuivamia Ukraine.

Hivyo usishangae kuona nchi zinazounda NATO zinavyotoa misaada ya kijeshi kwa Ukraine kwani wanachangamkia fursa, kwa wale waliowai kununua hisa wananielewa vyema. Kuisaidia Ukraine kwa sasa ni kununua hisa.
 
Hazina faida Mrusi atashinda vita macommendor wenyewe wa NATO wanakiri hayo pressure tu ya maneno hizo 40 Billion hawana kuwasaidia watu wao Inflation ndio haisemeki.

Wanajaribu kumtisha Putin Kwa mdomo wanjua vita Mrusi kashinda.
Ongea kama mtu mzima mrusi kashinda vita kivipi? Leta unbiased source tuone namna gani urusi anashinda vita huko mstari wa mbele.
 
Putin juzi katika sherehe za victory day aliropoka siri pale aliposema "Tumeivamia Ukreni wakati sahihi kwakuwa Nato ilipanga kutuvamia na kuipiga mpaka Moscow"
Huu ndio ukweli na ni swala la muda Russia lazima ipigwe na ikamatwe kiuchumi na kijeshi na wamangaribi.

Hakuna njia yeyote kwa nchi za magharibi kupata gesi, mafuta, na makaa ya mawe nje ya Russia, hivyo uharibifu uliofanyika Ukreni na gharama zote za vita (misaada yote Ukraine anayoipa kwa sasa) lazima ilipwe na Urusi.

Italipwa vip?
Urusi lazima ipigwe na serikali ya Putin lazima iangushwe pamoja na nguvu ya kijeshi Russia aliyonayo kwa sasa lazima ipotezwe.
Hapo sasa ndipo nchi za magharibi na USA watajichukulia mafuta, gesi na makaa ya mawe ya Urusi bure kwa miaka kadha ili kurudisha gharama zao.

Russia aliingizwa kwenye mtego na yeye akajaa mzima mzima. UN imeshadhibitisha kuwa hakukuwa na sababu yeyote ile kwa Urusi kuivamia Ukraine.

Hivyo usishangae kuona nchi zinazounda NATO zinavyotoa misaada ya kijeshi kwa Ukraine kwani wanachangamkia fursa, kwa wale waliowai kununua hisa wananielewa vyema. Kuisaidia Ukraine kwa sasa ni kununua hisa.
Duuh kwahyo kwa misaada hiyo kwenye jeshi dhaifu la Ukraine ndio watashinda vita? Fuatilia tena, ikiwa Ukraine watapewa silaha nzito, Russia pia wata opt kutumia silaha nzito zaidi na hapo hata inzi anaweza asi survive.
 
Bunge la Congress la Marekani limepitisha msaada wa Dollar Bilioni 40 Sawa na Tsh Trillion 97 kwa ajili ya msaada wa kijeshi Kwa Ukraine. Msaada huu unakuja ikiwa Ni Ombi la Rais wa Marekani Joe Biden kulitaka Bunge Hilo kuidhinisha kiasi Cha $ 33B kwa ajili ya msaada wa kijeshi ya kiutu Chini Ukraine wiki iliyopita.

Akiongea na Kiongozi wa walio wengi kwenye Bunge la Congress la Marekani, Nancy Pelosy Jana Usiku, Rais wa Ukraine alilitaka Bunge la Congress kupitisha msaada huo ili Wanajeshi wa Ukraine waanze kuyakomboa maeneo yaliyotekwa na Urusi ikiwemo kuwafurusha Wanajeshi wa Urusi Mariopul ambao wamewazunguka wapiganaji wa Ukraine kwenye Kiwanda Cha Chuma.

Akiongea na Vyombo vya habari hi Leo,Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lyod Austin,amesema kuwa Msaada huo utajumlisha Silaha za masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia Kilometa 200.

Wataalamu wa Mambo wanasema, Kuna uwezekano wa Marekani kupeleka Arterarry Aina ya HIMIRS ambazo zinauwezo wa Kupiga Crimea. Daraja la Crimea Ni nyendo mhimu kwa Russia kwani linaunganisha Crimea na Urusi. Endapo Marekani itapeleka hata Mfumo mmoja wa HIMIRS,Basi Daraja la Crimea litakuwa mashakani.

Ikumbukwe kuwa, Kwa zaidi ya miezi 2 Sasa, Wanajeshi zaidi ya 500 wa Ukraine walikuwa Nchini Poland na Romania wakipatiwa Mafunzo ya jinsi ya Kutumia Silaha za Marekani.

Katika Ripoti ya Leo,Jeshi la Ukraine limevikomboa vijiji 7 katika mji uliotekwa na Urusi wa Kherson tangu mwezi Machi. Pia Jeshi la Ukraine limedai kuwarudisha nyuma Wanajeshi wa Urusi kwenye mji wa Kharkiv.

The package would give Ukraine more military and economic aid, with $5bn to go towards the global food shortage. US House approves $40bn aid package for Ukraine
Marekani ni chanzo kikubwa cha vita ulimwenguni. Wanatakiwa kudhibitiwa mapema sana.
 
Hazina faida Mrusi atashinda vita macommendor wenyewe wa NATO wanakiri hayo pressure tu ya maneno hizo 40 Billion hawana kuwasaidia watu wao Inflation ndio haisemeki.

Wanajaribu kumtisha Putin Kwa mdomo wanjua vita Mrusi kashinda.
Umeona eenh. Hakuna pesa.Ni maneno tu kuongeza vita vya kisaikolojia kwa Urusi. Na wao Urusi wanalijuwa hilo. Marekani nao wanazungumza huku wanaona vinyotanyota mbele yao.Jana tu wamekiri kuwa inaonesha Urusi inajiandaa kwa vita ya muda mrefu.
Marekani ndio wanailetea dunia usiku kwa kupenda kwao vita.Mungu atawalani.
 
Back
Top Bottom