Lissu kuhutubia Bunge la Marekani mwezi April 2019, atakuwa mbunge wa Kwanza mtanzania kuhutubia Congress ya Marekani

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,568
2,000
#Mpya

MH. TUNDU LISSU KUONGEA NA CONGRESS MAREKANI.

Mh. Tundu Antipas Mwigwai Lissu anatarajiwa kurudi United States of America kuongea na Bunge la Marekani mwezi wa nne mwaka huu.

Akiongea kutokea ofisi zake za Bunge Washington DC leo Ijumaa asubuhi Rep. Christopher Smith- New Jersey amesema Mh. Lissu atapata nafasi ya kulieleza Bunge la Marekani changamoto za Demokrasia Tanzania.

Zaidi, Rep. Smith ameseam Mh. Lissu atatumia muda huo kulieleza Bunge la Marekanai mkasa wote wa tukio la kupigwa risasi kumi na sita.

Mh. Lissu anatarajiwa kurudi USA wiki ya pili ya mwezi wa nne.
FB_IMG_1551494425612.jpg
 
Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,066
2,000
#Mpya

MH. TUNDU LISSU KUONGEA NA CONGRESS MAREKANI.

Mh. Tundu Antipas Mwigwai Lissu anatarajiwa kurudi United States of America kuongea na Bunge la Marekani mwezi wa nne mwaka huu.

Akiongea kutokea ofisi zake za Bunge Washington DC leo Ijumaa asubuhi Rep. Christopher Smith- New Jersey amesema Mh. Lissu atapata nafasi ya kulieleza Bunge la Marekani changamoto za Demokrasia Tanzania.

Zaidi, Rep. Smith ameseam Mh. Lissu atatumia muda huo kulieleza Bunge la Marekanai mkasa wote wa tukio la kupigwa risasi kumi na sita.

Mh. Lissu anatarajiwa kurudi USA wiki ya pili ya mwezi wa nne. View attachment 1035689

MTAWAUA JAMANI! Upepo wa KUSI haujatulia halafu tena mnaleta upepo wa KASKAZI.

By the way, makundi ndani ya chama tawala yanaanza upya.
 
Wissman

JF-Expert Member
Dec 12, 2014
994
1,000
Kwa upepo ulivyo Lowassa ameona mbali.. Nyota yake imefifia hana mvuto tena, akaona "yanini malimbano, najiweka pembeni kuepusha msongamano" kusimama kwa Lisu tuu na kuanza kuongea wakachanganyikiwa, wakisikia hili sijui watafanyaje.
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
8,105
2,000
Ikitokea ikawa hivyo, hili litakuwa ni tukio la kipekee kabisa , kama ilivyokuwa kwa tukio la mtu kuchakazwa risasi zaidi ya kumi na kuendelea kudunda.

Lakini hasa upekee utakuwa ni juu ya Tanzania kuwekewa umhimu wa namna hiyo. Nadhani hasa kichocheo kitakuwa ni jinsi watawala wanavyozidi kuchochea kuminywa kwa haki kwa wananchi wao. Na hili linategemewa kuongezeka kadri uchaguzi mkuu unavyosogelea.

Hata kama hapatasemwa chochote baada ya tukio hilo kama kweli litakuwepo, taa ya njano itakuwa imeiangaza Tanzania yetu dunia nzima.

Kama ingetokea safari hiyo ikawepo na kupewa heshima ya namna ya pekee hiyo kuwahi kutokea, jambo la kuombea lingekuwa moja tu. Wananchi wa Tanzania wasaidiwe kuwachagua viongozi wao bila ya kushawishiwa na mtu yeyote wa nje, na bila kuwepo mizengwe ya chama kimoja kujitwalia madaraka ya kuendesha uchaguzi huo.

Wakiweza kutusaidia kwa hili, watakuwa wamefanya jambo jema sana.

Hata akiweza kuongea na Kamati tu ya Cngress, na isiwe Congress nzima, ingetosha kabisa kuchukua heshima kubwa.
 
Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
35,648
2,000
Ni nzuri Sana kwa hizo kick nyumbu amewaroga hamna ujanja,eti anahutubia bunge la marekani so what bullshit,Nani anajali Kama sio Nyumbu peke yao,inawasaidia Nini watu wa Jimbo lake

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukutane April kwenye Congress...ili ushuhidie jinsi mtu anatakavyo vuliwa nguo kwa mara ya Pili...

NB
1USD.....2430Tsh
 
Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,411
2,000
Good for him, hilo linatikea wakati wowote, na umedanganya kuwa Lissu atakuwa mbunge wa kwanza wa Tanzania kufanya hivyo. 1978 - 79 kulikuwa na mbunge wa kitanzania alialikwa na ajazungumza hapo congress, huyo mbunge alialikwa na congressman aliyesima nae chuoni usa.

Nitajaribu kulikumbuka jina na natalileta hapa. Pia 1999 wabunge wawili wa Somaliland nchi ambayo haijatambuliwa , walipewa fursa ya ku,ungumza na congress kwa kulihutubia baraza la Congress.

Hiyo fursa hupewa kina mwana congress, anaweza mkaribisha hata shetani, bira atimize masharti na muda uwe muafaka.
#Mpya

MH. TUNDU LISSU KUONGEA NA CONGRESS MAREKANI.

Mh. Tundu Antipas Mwigwai Lissu anatarajiwa kurudi United States of America kuongea na Bunge la Marekani mwezi wa nne mwaka huu.

Akiongea kutokea ofisi zake za Bunge Washington DC leo Ijumaa asubuhi Rep. Christopher Smith- New Jersey amesema Mh. Lissu atapata nafasi ya kulieleza Bunge la Marekani changamoto za Demokrasia Tanzania.

Zaidi, Rep. Smith ameseam Mh. Lissu atatumia muda huo kulieleza Bunge la Marekanai mkasa wote wa tukio la kupigwa risasi kumi na sita.

Mh. Lissu anatarajiwa kurudi USA wiki ya pili ya mwezi wa nne. View attachment 1035689

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom