Ni hatari kuziba watu wasipumue. Unapo zuia siasa na uhuru wa ndani visifanyike unakuwa umeruhusu siasa za nyumbani zifanyike nje ya mipaka ambako huna control napo....ndo hali ya tz kwa sasa.... intelligent ni intelligent tu! Huku mnamnyima matibabu sijui mshahara yeye anaenda kusimama mbele ya Congress ambayo mpaka mnakufa hamtokaa mkanyage viunga vyake! Ha ha ha! Lissu ni majanga.