Lissu kuhutubia Bunge la Marekani mwezi April 2019, atakuwa mbunge wa Kwanza mtanzania kuhutubia Congress ya Marekani

Yaan huyo mwehu mropokaji ndo akahutubie dunia, acheni kuvuta bangi vijana
 
Return Of Undertaker,
Wamarekani wanahaha kutafuta wa kuwasimika. Hivi bado hawajatuelewa Watanzania kwamba tuna akili zaidi Yao. Tunajua wanayoyafanya na Malengo yao. Tunajua hata yaliyotokea libya tunajua n.k
 
Back
Top Bottom