Lissu kuhutubia Bunge la Marekani mwezi April 2019, atakuwa mbunge wa Kwanza mtanzania kuhutubia Congress ya Marekani

Hawa watu wasiojulikana wa awamu hii ya 5 wanatia doa sana
 
Acha upumbavu wako watanzania wapi unawasemea? Wewe mwenyewe hujielewi kama hao ni wahaharakati uchwara si mungewaacha wajifie wenyewe??iweje mnazuia mikutano ya siasa mnawabambikia kesi, mnawapiga Risasi na kuwafanyia visa vya kila aina? Kaa utambue kuwa watanzania si wajinga kama unavyofikiria wanajua vyote kuliko wewe kilaza uliyelala ukawaza ujinga ukiajiandikia pasipo kutafakari kwanza
 
Kamanda utawaua hawa watu, acha wapumue, mana washaanza kutoa viushuzi huku#yuuuuuusuph. 😂😂😂😂😂😂😂
 
Hii inaitwa tit for tat!
 


Hapo Lissu atapiga hela ndefu sanaaaa...!! Ila Lissu ajue mzungu hakuwahi kuwa rafiki wa kweli wa mwafrika..!!
 
... atakuwa mbunge wa kwanza kutoka Tanzania au atakuwa mtanzania wa kwanza? Sina kumbukumbu ya mtanzania yeyote kuhutubia Congress chombo kizito kuliko hata UN kwa siasa za dunia!
Buku 7 WA lumumba lazima waje kukupinga mkuu. Manake hayo mengi ni vilaza aina bashite hayajui dunia inakwendaje!
 
Mbona unaandika hadithi ndefu bila data mkuu? Hebu acha basi mabishano ya kwenye vijiwe vya kahawa kama huna data!
 
Lisu punguza speed utawauwa watu Na presha

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Once they give u 5000 they take from u 5B!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri Mafools anatamani awatume vijana wake wasiojulikana huko Belgium, mtamuua Rwanda wa Kagame kwa BP
 
Angealikwa Bashru Ally wapiga debe wa Lumumba wangelipuka kwa nderemo Vifijo na Hoihoi pasingekalika humu.

Lakini kwa Sasa Ati Congo foresti...hata kwa Tishekedi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…