Lissu kuhutubia Bunge la Marekani mwezi April 2019, atakuwa mbunge wa Kwanza mtanzania kuhutubia Congress ya Marekani

Wanavyotudharau
Kuna wazungu wanapanga kutumaliza kila kukicha na billions of dollars zinatumika
Halafu kuna watu wanavaa na suits na kukaa nao

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
#Mpya

MH. TUNDU LISSU KUONGEA NA CONGRESS MAREKANI.

Mh. Tundu Antipas Mwigwai Lissu anatarajiwa kurudi United States of America kuongea na Bunge la Marekani mwezi wa nne mwaka huu.

Akiongea kutokea ofisi zake za Bunge Washington DC leo Ijumaa asubuhi Rep. Christopher Smith- New Jersey amesema Mh. Lissu atapata nafasi ya kulieleza Bunge la Marekani changamoto za Demokrasia Tanzania.

Zaidi, Rep. Smith ameseam Mh. Lissu atatumia muda huo kulieleza Bunge la Marekanai mkasa wote wa tukio la kupigwa risasi kumi na sita.

Mh. Lissu anatarajiwa kurudi USA wiki ya pili ya mwezi wa nne.View attachment 1035689
Kama joint meetings, joint sessions au separate house?
 
Unaweza kutupa chanzo cha hii habari?
 
Wanavyotudharau
Kuna wazungu wanapanga kutumaliza kila kukicha na billions of dollars zinatumika
Halafu kuna watu wanavaa na suits na kukaa nao

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ccm ndio wanasaini nao mikataba inayotunyonya,.. Miaka 50+ nchi Ipo Ipo tu
 
Uwezekano wa Wabaya Wa Lisu kuwamo ndani ya C.D.M, ni mkubwa sana.
Wameona karejea tena hewani na anaushawishi mkubwa ndani ya chama kuliko wote waliomo kwa hiyo soln ni kuchochora mapema kwa ajiri ya kulinda heshima yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo matatizo ya kupokea wadandia chama, wajenga chama ambao wakijijenga na Tundu Lissu wengi wanamkubali.
 
Hahaha ndio maana mr mamvi akaamua kutoka mbio ..alishaona kabisa kuwa hana ushawishi wowote kwa sasa ''

Ilikuwa ni haramu kubwa mnoo kuja kumsimamisha yeye kama mgombea mkuu wa chadema 2020 wakati amekaa kaa tu kama toy la nguo kwenye boutique ..wakati wenzake wakipambana na majambazi yaliyopo serikalini yanayo ikandamiza democracy na kusababisha maumivu kwa watanzania .

.Yeye ndio kwanza anakutana na majambazi hayo kisha anapata nao kikombe cha kahawa ( kuna nahau ya kiswali ina sema ukitembea na mwizi nadhani msemo huu mr mamvi hawezi kuukwepa ).. Mr mamvi kafikiria at end of the day akabaini kwamba lissu ndiye mpinzani wa kweli wa serikali ya ccm ametambua kuwa lisu ushawishi wake hauishii katika sisa za ndani tu " bali unafika mpaka kwenye jumuia ya Umoja wa nchi za kimataifa .....

Dahh shame on you Lowasa Mr .Opportunisty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom