Kwani tarehe 1 July ni lini ???!Kwani mh Lissu anafikishwa mahakamani kesho?
Akiachiwa, waliomfunga wafungweKama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Mboga zifuate ubwabwa!Sasa sie akina G55 tumeshahamia huku kwenye ubwaubwa na mademu zetu covid 19 wameenda mbogamboga itakuwaje ati?![]()
Uchaguzi upi bila CHADEMA na Tundu Lissu kushiriki; bado una mashaka na hilo pia?Mpaka-uchaguzi-uishe.
Huenda akaachiwa uko uko gerezani bios kufikishwa mahakamaniUchaguzi upi bila CHADEMA na Tundu Lissu kushiriki; bado una mashaka na hilo pia?
What!Let wait and see
let us wait and see. Nitarudi kwako nikulaani kama hakutokaKama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Baada ya kulaani?let us wait and see. Nitarudi kwako nikulaani kama hakutoka
Kaachiwa?Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Wakati ndo sharti alilopewa ili aachiwe na amekubali. Na akitoka tu anasepa zake Belgium kupumzika.Kuingia kwenye uchaguzi bila reforms hapana hawataambulia kitu
Huyo jamaa kufika Oktoba atakua amechoka sio kidogo
Akubali kushiriki Uchaguzi afu akimbie Belgium acha porojoWakati ndo sharti alilopewa ili aachiwe na amekubali. Na akitoka tu anasepa zake Belgium kupumzika.
Most likely ✌🏿✌🏿💪🏿📌🔨Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA