Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,121
- 9,593
- Thread starter
- #21
AminaYou are a Man of the Month. Nakufurahia sana Ndugu we hujui tu.
AminaYou are a Man of the Month. Nakufurahia sana Ndugu we hujui tu.
kwani wenzio walifikiria hayo?walifikiri kama yule mwingine wanamuita mwambaNchi ya ajabu sana hii, unamuweka ndani mtu ili kumukomoa kumbe ndo unajikomoa kukomoa zaidi Taifa, mpaka sasa Taifa limepata nini kama sio kupoteza kabisa
SubiriCCM hawaishiwi vituko, wanaweza kusema gari la magereza halina mafuta.
Kwamba ata negotiate,,ila ukiwa na misimamo unaheshimika ata adui hakujii kichwa kichwakwani wenzio walifikiria hayo?walifikiri kama yule mwingine wanamuita mwamba
Naungana na wewe mkuu,kwani wenzio walifikiria hayo?walifikiri kama yule mwingine wanamuita mwamba
Pia hawatoruhusu apande majukwaani kuendeleza kurusha missiles za hypersonic akiwa na Heche..CCM hawaishiwi vituko, wanaweza kusema gari la magereza halina mafuta.
Kuna siku wakitaka kumuachia tulipotangaza wakagaili😁Wakoloni weusi waache kumpotezea Mjeshimiwa muda wake wa kuwatetea na kuwapigania Watanganyika.
Huyo aliembiwa aachiwe aende zake si aliponywa mapepo na Yesu, kwani Lissu kamponywa mapepo?Yesu alisema mwacheni aende zake
Lissu ni motooPia hawatoruhusu apande majukwaani kuendeleza kurusha missiles za hypersonic akiwa na Heche..
Jamaa anaogopeka sana...Lissu ni motoo
Mungu ajua namna ya kuwagawa kondoo na mbuziSasa sie akina G55 tumeshahamia huku kwenye ubwaubwa na mademu zetu covid 19 wameenda mbogamboga itakuwaje ati?![]()
Lisu ni mfano wa kuigwa,je nani wa kuwapigania wananchi kama lisu anavyo wapigania wanasiasa?.TAML aka munyampaa anatakiwa awe huru ili aje kulichangamsha taifa.Tumeboeka sana munyampaa kuswekwa mung'anda kwa kusingiziwa.
Wakasema tupe basi BarabaYesu alisema mwacheni aende zake
Tuliza boll chawa ...Yesu alisema mwacheni aende zake
Msimwachie Sasa ili mniweke ndaniMtabiri asipoachiwa TAL hio kesho, tunakuweka wewe ndani.
CCM wamekubali yeesheeKama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA