Tetesi: Lissu kuachiwa kesho

Tetesi: Lissu kuachiwa kesho

Nchi ya ajabu sana hii, unamuweka ndani mtu ili kumukomoa kumbe ndo unajikomoa kukomoa zaidi Taifa, mpaka sasa Taifa limepata nini kama sio kupoteza kabisa
Nchi ipo mikononi mwa wahafidhina wapumbavu. Unategemea mtu kama wasira atakuja na mawazo gani ya kujenga?
Ukweli ulio wazi ni kwamba ccm imeishiwa PUMZI
 
Ndivyo ilivyo, na ndivyo itakavyokuwa

Rejeeni tarehe 16/6/2025 jinsi serikali ikiwakilishwa na DPP mahakamani kupitia kwa mawakili walivyokuwa wanababaika kuonesha kuwa hawana lolote kwenye kesi hii, hawaushahidi na kiufupi hakuna uhaini wowote bali ni ujinga na woga wa Samia tu na genge lake

Bahati mbaya ni kuwa, kusheria hii haiwezi kufanyika nje ya utaratibu wa kisheria mahakamani hukohuko. Laiti ingekuwa vipi, ingeshatangazwa mapema kuwa "DPP hana nia ya kuendelea na shauri hili"

Bahati mbaya nyingine ni kuwa, huyu Tundu Lissu hawezi kutokea Ikulu kesho badala ya mahakamani kama ilivyokuwa kwa mjasiriamali wa kisiasa wa kesi ya kubambikiwa ya ugaidi Freeman Mbowe mwaka 2022
 
Yule bibi anakataliwa hadi na wajukuu zake, ana roho ya ajabu kweli kweli. Mpinzani wa aina yoyote si wa kufunga bali kupambana nae kwa kufanyia kazi malalamiko yake huku kuweka busta ya kupeleka maendeleo kwa wananchi na si baiskeli na pikipiki kwa makada.
 
Watu wa amani na wapenda demokrasia na maendeleo tunataka aachiwe ili nchi iwe na amani kuona huyo mwamba yuko huru kushiriki michakato ya siasa za nchi hii. Pengine chama chake kinaweza kuingia kwenye uchaguzi mkuu. Wananchi wengi wanataka CHADEMA iingie kwenye uchaguzi hata kama abrakadabra zitafanyika.
 
Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa. No

Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.

Siongezi neno.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Wee Jamaa nakufurahia sana sana, umekuwa mtu wa kutoa matumaini Kwa Watz walio wengi. Maana kama Taifa limekata tamaa hivi...mbele ni Giza totoro
 
Kuingia kwenye uchaguzi bila reforms hapana hawataambulia kitu
 
Kuingia kwenye uchaguzi bila reforms hapana hawataambulia kitu
kwa haya mashinikizo toka nje huenda ccm ikaona aibu kufanya abrakadabra kwenye uchaguzi wakaachia kata na majimbo kadhaa yachukuliwe na upinzani angalau kupunguza malalamiko toka jumuiya mbalimbali za kutetea haki za binadamu
 
Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.

Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.

Siongezi neno.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Itapendeza kama kweli !
😅 Tanzania Nchi ya amani na maelewano na masikilizano !
Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
 
Back
Top Bottom