Akiachiwa inabidi chama kiwe na walinzi muda wote na alindwe kwa mzunguko wa mita mia mbili.
Anapoenda vijana wawe washatangulia kufanya maandalizi ya kiulinzi...
Jambo hili halipaswi kuchkuliwa kwa wepesi, hii ni hazina ya taifa inayoelekea kupotea, resources za kiulinzi zielekezwe kwake hadi pale atakapokabidhiwa throne.
Wakati ambao vijana (kuanzia 20 kwa makadirio ya polisi wanaotumwa) wasio na woga kupewa jukumu la kuhakikisha mwenyekiti hachukuliwi kizembe na wawepo katika kila mkutano, kwa maana wananchi hupata ujasiri wakiona kuna watu wanapambana bila kurudi nyuma nao hujiunga.