Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,121
- 9,593
- Thread starter
- #61
Ndo hvyItapendeza kama kweli !
😅 Tanzania Nchi ya amani na maelewano na masikilizano !
Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
Ndo hvyItapendeza kama kweli !
😅 Tanzania Nchi ya amani na maelewano na masikilizano !
Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
Mbowe alituweza sana, ukimcheki anavyojenga hoja utdhani mtu wa maana kumbe yuko kibiashara zaidi.Ndivyo ilivyo, na ndivyo itakavyokuwa
Rejeeni tarehe 16/6/2025 jinsi serikali ikiwakilishwa na DPP mahakamani kupitia kwa mawakili walivyokuwa wanababaika kuonesha kuwa hawana lolote kwenye kesi hii, hawaushahidi na kiufupi hakuna uhaini wowote bali ni ujinga na woga wa Samia tu na genge lake
Bahati mbaya ni kuwa, kusheria hii haiwezi kufanyika nje ya utaratibu wa kisheria mahakamani hukohuko. Laiti ingekuwa vipi, ingeshatangazwa mapema kuwa "DPP hana nia ya kuendelea na shauri hili"
Bahati mbaya nyingine ni kuwa, huyu Tundu Lissu hawezi kutokea Ikulu kesho badala ya mahakamani kama ilivyokuwa kwa mjasiriamali wa kisiasa wa kesi ya kubambikiwa ya ugaidi Freeman Mbowe mwaka 2022
Litakuwa jambo la kheri!Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Muulize SamiaKwani mh Lissu anafikishwa mahakamani kesho?
Pilato ameona Hana hatia mtu huyu damu yake isijedaiwa juu yetu na watoto wetu mfungulieni aende zake. Dah ila mwamba akija kitaa najua hi vita tunakwenda kutumia B-2 spirit ilikuwamaliza mapemaKama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Naunga mkono hoja Voices From Within:Tundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini? CHADEMA Kushiriki Uchaguzi?Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Wanatema bungo🔥🔥🔥🔥🔥✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿📌📌📌🔨❗Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Da we kibokoYesu alisema mwacheni aende zake
Mkuu kama ni kweli, basi ni habari njema! Tunashukuru kwa mtonyo.Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Hakuna hiyo habarMkuu kama kweli habari njema! Tunashukuru kwa mtonyo.
Bado haitabiriki tusubiri hadi kesho inshaalahWamebana wameachia.
Hata kama sio kesho, ila hili halikwepeki.Bado haitabiriki tusubiri hadi kesho inshaalah
how sure are you that he is a manYou are a Man of the Month. Nakufurahia sana Ndugu we hujui tu.
si yuko hildaSasa sie akina G55 tumeshahamia huku kwenye ubwaubwa na mademu zetu covid 19 wameenda mbogamboga itakuwaje ati?![]()