Tetesi: Lissu kuachiwa kesho

Mbowe alituweza sana, ukimcheki anavyojenga hoja utdhani mtu wa maana kumbe yuko kibiashara zaidi.
 
Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.

Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.

Siongezi neno.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Pilato ameona Hana hatia mtu huyu damu yake isijedaiwa juu yetu na watoto wetu mfungulieni aende zake. Dah ila mwamba akija kitaa najua hi vita tunakwenda kutumia B-2 spirit ilikuwamaliza mapema
 
Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.

Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.

Siongezi neno.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Wanatema bungoπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯βœŒπŸΏβœŒπŸΏβœŒπŸΏβœŒπŸΏβœŒπŸΏπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨β—
 
Na kama LISSU ASIPOACHIWA kesho na bado JF moderators wameuacha huu uzi hadi sasa, basi jukwaa la JAMII FORUMS litakuwa ni la WAJINGA NA WAPUMBAVU na mimi NITALAZIMIKA KUJIONDOA ili wabaki WAJINGA NA WAPUMBAVU tu maana mimi sio sehemu yao.
 
Yes na iwe kweli. Baba piga risasi pembe zote kijana wetu aje kitaa. Yale mashetani yafe yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…