Mh.Mgombea wa urais Chadema
Karibu Dodoma lkn ukishafika Dodoma Fanya yafuatayo maana ndio mji uliokuletra madhara
1.Ukikanyaga tu ardhi ya Dodoma omba Mungu juu ya ardhi na Anga la Dodoma hata kwa dakika tano ndio uendelee na mambo mengine
2.Usiongeelee chochote juu ya kupigwa kwako risasi hapo Dodoma
3.Usishikane mkono na kila MTU 4.Usilale Dodoma ukishamaliza shughuli yako kaa kidogo kisha ondoka mji huo hadi hapo utakaporudi kwa kwakurejesha fomu au kutafuta wadhamini au wakati wa kampeni
Nini mtanzania mzalendo kwa nchi yangu na watu wake wote