Wewe unaejua hebu tueleze unachokijua! Mbaishia tu kusema Lissu mpiga kelele hajui CHOCHOTE, hicho alichokieleza hakijui? Hakipo? Mna matatizo sawa na ya Yule Kichaa kwa kuamini katika Professors n other Rubishes! Kwenye hili Lissu alilomkosoa Kabudi, Mwanafunzi yeyote wa Sheria aliefundishwa vizuri maswala ya Katiba na utungaji wake pamoja utungaji wa sheria atakubaliana na Lissu! Kabudi aidha kwa kudhamiria, ama kwa kupitiwa, hapo kawalisha watu matango pori! Kwa Msaada zaidi juu ya Lissu mtafute Prof. Hamudi Majamba!Lissu ni mropokaji na mpiga kelele tu hajui lolote kinacho mbeba ni kwamba wananchi wanahamu kubwa ya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala.
Usi force tufanane nadhani na yeye au wewe kama mwanafunzi wa sheria utakuwa unatambua ni nini kimeandikwa kwenye kifungu cha 15,16 cha katiba ya JMTWewe unaejua hebu tueleze unachokijua! Mbaishia tu kusema Lissu mpiga kelele hajui CHOCHOTE, hicho alichokieleza hakijui? Hakipo? Mna matatizo sawa na ya Yule Kichaa kwa kuamini katika Professors n other Rubishes! Kwenye hili Lissu alilomkosoa Kabudi, Mwanafunzi yeyote wa Sheria aliefundishwa vizuri maswala ya Katiba na utungaji wake pamoja utungaji wa sheria atakubaliana na Lissu! Kabudi aidha kwa kudhamiria, ama kwa kupitiwa, hapo kawalisha watu matango pori! Kwa Msaada zaidi juu ya Lissu mtafute Prof. Hamudi Majamba!
Ukisema mkenge wa makanikia wengi hawatamtambua. Sema yule mwenye mimacho kama mjusi aliyebanwa na mlango.Unazungumzia Kabudi gani ...........!!?
Huyu aliyetuingiza NKENGE kwenye Makinikia au mwingine .......!!? Tatizo Watanzania tunapenda sana maneno matamu ...!!
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Prof.Kabudi ana tabia ya kuongea mambo mengi ya ziada kabla hajajibu hoja husika. Ni rahisi sana kumpoteza msikilizaji wake, au hata kujipoteza yeye mwenyewe.
Kiukweli wewe nikituko. Nisawa kabisa na wale was lisasi ilipigwa juuu. Badilikeni jamani Taifa linaangamia hilii kwa ushabiki maandazii.Hajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
Kubakwa sio kubaka.Weka facts hai mkuu, usiongee kama mtu aliyetoka kubaka
Nimefuatilia reasoning yako katika post na thread zako, nikiwa na dhana kichwani (maana sikujui na sijui shule yako) kuwa wewe ni mtu of some intellect to acknowledge lakini, as time goes on , unaonekana ni wale wale wa ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooo!Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Hapa unalinganisha ukichaa na utimamu !Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Dah...umezidi kunichanganya mkuu. Hicho ulichoakiandika hapo ndiyo katiba ya CHADEMA inavyosema au?Hajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
Tunaita gumzo mkuuKabudi hua haelezi kile anachoulizwa bali hua anaeleza kile anachokijua yeye mwisho wa siku anakuja kuongea vitu mpaka unashangaa rejea mambo ya kuwaambia wabunge wakasome legal anthropology, mara sijui ooh we were in the times when president was president..nigga who asked about all that stick to the point...
Chukua think tank wa ccm wote jumlisha na huyo bado hawatafika kiwango ya lissuNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Inaeleweka vichaa kuteteanaNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Your Prof.is very deeeeeep, but in a Shallow water. Should not be compared to Lissu at all! At all, Lissu dives in deep Seas while your Prof dives in a swimming pool! Sasa wapi na wapi?Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Ni kichaa wa siasa za kichaa za ccm, mwache tu ni maagizo toka juu kule kunakotungwa sheria kichaa nje ya bunge kulinga na prof kabundi.Mkuu britanicca , with due respect, hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii hapa JF hata kama ni muanzishaji mzuri na mkongwe wa mada-hata zile zinazokinzana. Hakuna mahali popote ambapo kuna mabishano kuwa ni nani kati ya Prof. Kabudi na Lissu yuko 'vizuri' kuliko mwenzake. Hao ni wanasiasa na wanajibizana kisiasa. Hakika, huna hoja wala hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii ambayo inaweza kuishia kumtweza mmoja wa hao. Kama huna hoja, si lazima uanzishe mada. Muda mwingine soma za wenzako!