PROF KABUDI NI KIBARAKA WA JIWE!!!!!Kabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .
Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .
Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.

Hahahaaa nimeipenda hiyo ya kujipoteza hata yeye mwenyewe.
But yes, Kabudi is long-winded AF.
That’s why he makes so many factual errors.
Tatizo lenu mnaongea kitu bila Supporting documentsNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Hivi ukiulizwa kuhusu Nyanya wewe ukatoa maelezo kuhusu sambusa, hicho kinakufanya uwe Bora kisa tu uwezo wako wa kuielezea sambusa Ni mzuri? Watanzania mna matatizo makubwa Sana!Kizazi cha wadogo zetu ni kizazi ambacho hakijui substance ya maana ni ipi. Mtanzania kuiteka akili yake ni jambo dogo sana.
Unashangaa kusikia eti wachekeshaji na wao wanafungua makanisa na bado wanapata vichwa vingi tu.
Kabudi yupo juu sana, nimeiangalia hii clip ya bunge la sasa, jamaa anamwaga shule, kama vile mwalimu anaongea na wanafunzi.
Lissu ana tatizo la kushindwa kuitawala arrogance yake, hachelewi kuanza kupayuka, na hawezi kudhibiti hisia zake.
UKO SAHIHI!!!!!!Your Prof.is very deeeeeep, but in a Shallow water. Should not be compared to Lissu at all! At all, Lissu dives in deep Seas while your Prof dives in a swimming pool! Sasa wapi na wapi?
Nitakupa mfano mmoja: Niliwahi kuchukuliwa na shirika Fulani nikapelekwa Kilolo kwenda kutoa Elimu ya Haki za Kisheria katika Umiliki wa Ardhi. Siku ya kwanza Boss wangu ndie aliefanya presentation kwa Wananchi! Yeye sii mwanasheria Kama Mimi, katika presentation Yake Kuna Mambo mengi sana ama kwa kujua au kutokujua alikuwa akipotosha! But he wasn't stammering, alinyoosha presentation Yake Safi, alijibu maswali kwa kunyoosha maelezo, na kila mtu alikubaliana na kilichoelezwa! Kesho Yake ilikuwa zamu yangu, nami kwa kuwa tulikuwa Kijiji kngine, nikatumia knowledge niliyonayo ipasavyo, nikanyoosha maelezo ipasavyo, Hadi Wananchi wa Kilolo nakumbuka walinipa kuku nikaenda kuchinja. Ninachokieleza Ni kwamba, kila mmoja wetu presentation Yake kwenye same topic aliifanya kwa uwezo Mkubwa, tofauti Ni kuwa, mmoja alipotosha, mwingine alieleza Mambo yalivyo.
Mfano mwingine, nime base Sana kwenye Haki za watoto kwa Sasa, naendesha trainings za kutosha tu huku nilipo, nikianza kuhubiri akili na masikio ya wasikilizaji Huwa havitikisiki, very attentive, nimekuwa mbobevu katika Hilo, ila Kuna siku kwa kutokujua uwepo wa kanuni mpya nilijikuta nashushuliwa na Afisa Maendeleo ya Jamii kuhusiana na masuala Fulani yanayohusu watoto! Mmi nikiilaumu serikali kwa kutowezesha utekelezaji wa baadhi ya provisions kwenye Child Act kutokana na kutokuwapo kwa kanuni, mwenzangu akaniambia kanuni zipo na akazionesha! Palamagamba nae kutokana na uzoefu wa muda mrefu na kujiamini katika maeneo mbalimbali ya kisheria, na amekuwa Kama Mimi, anajiamini hata Kama asemacho Ni upotoshaji!
Lissu hawezi lingana na kina Mkono kwa sababu labda ya Areas of concentrations! Mkono ukimpa Criminal au Land cases utakuwa unamuonea, mpe kwenye Investment, Dispute Resolutions, Corporate, etc. Halafu Mkono yeye alichoweza Ni kuajiri ama ku partner na Mawakili wengine Wazuri, yeye uliwahi kumuona kwenye debates? Mahakamani?
Marando is one of the most senior advocates na Ni mzuri Sana kwenye litigation, hao ndio mentors wa kina Lissu, so kwa vyovyote vile, Huyo Kabudi wenu akili ya chuoni kaiacha hukohuko, kwenye Serikali ya Vichaa kaja na Macho Yale na Tumbo!
He is a bare headed mind in the darkest of ghost.
Kabudi alifeli, bar exams Mara Tatu. Alipewa uwakili kwa hisani, Kuwait prossional no tofauti namNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Kabudi alifeli bar exams Mara Tatu, alipewa uwakili kwa hisani, Kuwa professional ni zaidi ya kukariri vitabuNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka
Labda wewe ndo hukumuelewa kipindi likeKabudi hua haelezi kile anachoulizwa bali hua anaeleza kile anachokijua yeye mwisho wa siku anakuja kuongea vitu mpaka unashangaa rejea mambo ya kuwaambia wabunge wakasome legal anthropology, mara sijui ooh we were in the times when president was president..nigga who asked about all that stick to the point...
Wekicha kwel kwel naona unapitisha hewa tu baada ya kuvimbiwa uroda wa ficcm hongera mkuuHajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
Sheria haiendi kwa mieuko bali kwa ushaidi.Kuna tofauti kubwa ya ukweli na uthibitisho.Sheria inataka exibit na sivinginevyo.Unacheza na Lissu wewe eti,mtu kashindwa mahakamani kutiwa hatiani hadi kushambuliwa na bunduki ili kumzima bado unamchukulia poaa?
Lissu ni level nyingine.
mada tunaifungaHajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
Ziko wapi hizi tuziangalie----?Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, k