Huyu hakuwa na chakuchangia humu leo.Nimekushauri tu. Najua kuwa wewe ni mmoja wa wanaJF wanaopenda kurefusha mada zao na kuzitetea hata kama wameandika 'pumba'. Shaurika!
Mkuu, mimi si mmojawapo. Mara nyingi tu huchangia, kwa maana ya kuchambua, au huanzisha mada za kisheria. Please acknowledge!😀Asante Petro.
Lkn mimi nataka niende nje ya mada kidogo.
Kwanini wanasheria wa humu JF hamtusaidii pale mijadaya ya kisheria inapozuka na kuleta ukakasi kwenye jamii??
Ni uvivu? Uoga? Au kutokujua??
Kuwahi kusoma si kigezo cha kwamba unajua kila kitu; kifupi Lissu yuko vzr mno; we ulijua hayo aliyoyasema Lissu?Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapo
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Ukiangalia wale wanao mshabikia Lissu wengi ni Vilza tuNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Tishio?unataka kusema yeye anamiliki jeshi na vifaa vya kijeshi.Hamna na hamtaweza kusikiliza maoni yake kwa sababu ni tishio kiupande wenu utawezaje kumsikiliza mtu unaemuona ni adui yako.
Ungeeleweka vizuri kwa kutoa mifano, bila mifano inakuwa ni bytes tu zinapotea na zoezi la vidole.Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
una maana hata mahakamani anako shida kesi huwa analopoka tu mahakimu wanamuelewa, wanasheria wa serikali nao wanamwelewa mkuu acha utani basiLissu ni mropokaji na mpiga kelele tu hajui lolote kinacho mbeba ni kwamba wananchi wanahamu kubwa ya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala.
Wewe mabadiliko hayo huyataki yatokee?Lissu ni mropokaji na mpiga kelele tu hajui lolote kinacho mbeba ni kwamba wananchi wanahamu kubwa ya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala.
Kabudi ni mwalimu, ilitegemewa amwage shule.Kizazi cha wadogo zetu ni kizazi ambacho hakijui substance ya maana ni ipi. Mtanzania kuiteka akili yake ni jambo dogo sana.
Unashangaa kusikia eti wachekeshaji na wao wanafungua makanisa na bado wanapata vichwa vingi tu.
Kabudi yupo juu sana, nimeiangalia hii clip ya bunge la sasa, jamaa anamwaga shule, kama vile mwalimu anaongea na wanafunzi.
Lissu ana tatizo la kushindwa kuitawala arrogance yake, hachelewi kuanza kupayuka, na hawezi kudhibiti hisia zake.
Wew unajulikana ni moja ya watu wanaotamani Lisuu apoteeNaanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Hahahaha umemaliza mjadala mkuuKuwa na mjadala huu inamaana Lissu sio wa mchezo mchezo!
Huwezi kuuliza kati ya Real Madrid Na Yanga ipi timu bora!!!!!Utaonekana kichaa!!
Utapaswa uweke mjadala wa Real Madrid na Barcelona ndio watu wataanza kujadili!!!
Yeye hamiliki chochote kati ya hayo lakin yeye ni zaid ya hayo uliyoyataja.Tishio?unataka kusema yeye anamiliki jeshi na vifaa vya kijeshi.
Kule huwa na heshima,anaheshimu mahakama....una maana hata mahakamani anako shida kesi huwa analopoka tu mahakimu wanamuelewa, wanasheria wa serikali nao wanamwelewa mkuu acha utani basi
Yule bwana anajua sana, ukichanganya na sauti ya mamlaka aliyo jaaliwa basi ni raha sana
Mshahara mbali elimu mbali. Kuna ambao hawakugusa shule kabisa lakini leo hii ni mamilioneaKabudi ni mwalimu, ilitegemewa amwage shule.
Lisu ni nationalist fanatic, someone with fire in his stomach to persue his cause even after so many bullets.
Mpunguzieni kabudi mshahara kidogo alafu tuone shule atakayoitoa.