Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

Yeye hamiliki chochote kati ya hayo lakin yeye ni zaid ya hayo uliyoyataja.
Mwambie atengeneze namna nzuri ya kuwasilisha maoni yake si kwa kuifokea na kui-command serikali...

Ataendelea kuwa ignored ingawa tunatambua anayo mazuri ya kusaidia nchi.
 
Asante mkuu,
JF ya sasa imekuwa ya ajabu sana.

Wachumi humu wamebaki kule jukwaa la MMU, hawatusaidii chochote, wanasheria nao sijui wako wapi.
 
Ukweli ni kwamba Lissu is not that good! Mleta uzi uko sahihi. Lissu huwa anapala rangi kwa kutaja vifungu na wasiojua sheria wanaona jamaa ni kichwa ila tafsiri za hizo sheria wa kawaida sana. Kwenye presentation ya legal contents Kabudi kamuacha Lissu mbali sana.
Lissu anabebwa na uanaharakati.
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Prof alituahidi NOAH zetu ziko wapi? Akasema walipiga risasi marais wa USA hawajulikani hadi leo.
Kwa kweli nashindwa kuelewa umakini au weledi wa Prof wetu pendwa!!!!!!!!!!!
 
Ukiangalia wale wanao mshabikia Lissu wengi ni Vilza tu
Hakuna wajualo zaidi ya ushabiki na Kufuata mkumbo
Kabudi ni level nyingine kabisa
umeona mkuu maana noah zetu ziko bandalini na mkataba ni 50/50 kama alivyo shauri

pia kesi za nje ya nchi za madai prof. anazipangua kama kaseja
 
Ukweli ni kwamba Lissu is not that good! Mleta uzi uko sahihi. Lissu huwa anapala rangi kwa kutaja vifungu na wasiojua sheria wanaona jamaa ni kichwa ila tafsiri za hizo sheria wa kawaida sana. Kwenye presentation ya legal contents Kabudi kamuacha Lissu mbali sana.
Lissu anabebwa na uanaharakati.
Sure
 
Kabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .

Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .

Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.
Au kumtoa roho pia!!!!!!!!!!!!!!
 
7
Ukweli ni kwamba Lissu is not that good! Mleta uzi uko sahihi. Lissu huwa anapala rangi kwa kutaja vifungu na wasiojua sheria wanaona jamaa ni kichwa ila tafsiri za hizo sheria wa kawaida sana. Kwenye presentation ya legal contents Kabudi kamuacha Lissu mbali sana.
Lissu anabebwa na uanaharakati.
una maana hata huko mahakamani anajoshinda kesi kila uchwao nao hawajui sheria (vilaza wenzetu).

kabuni hana ajualo mbele ya lissu zaidi atakaa kimya aonekane ana busara ila akizungumza tu utajua lissu ni levo nyingine
 
Lisu ni mwanaharakati, anazungumza kwa mihemko mbaka anajikuta ametoka nje ya mistari. Namshauri akijaaliwa kurudi kwenye siasa za majukwaani awe anasoma hotuba zake. Itampunguzia kutamka maneno yasiyofaa na kujikita kwenye hoja.Anatumia maguvu mengi kuwakilisha hoja au kuelewesha jambo dogo.
 
Kule huwa na heshima,anaheshimu mahakama....

Ila anavyo ishauri serikali hutumia command hatakama anajenga hoja,ila uwasilishaji wake sasa.

Nyerere aliwahi kusema hatakama baba ana njaa unapompelekea ugali utengeneze vizuri ili umvutie ukipeleka ugali una sura ya hovyo hovyo hata hamu ya kula itaisha.
kumbe unakubali lissu anajua kuliko kabudi ila shida yake ni kuwapq ukweli kwa lugha halisi na haipaki mafuta iwavutie watawala
 
Kawaulize waendesha mashtaka wa serikali na mahakimu/majaji.....nadhani hao wataweza kukusaidia kutanzua mlinganyo wako.

Ooops! Nimesahahu kundi moja. Kawaulize na wabunge wa CCM na hasa Andrew Chenge na aliyewahi kuwa spika anaitwa Mama Makinda.

Nijuavyo mimi, shule na practice ni vitu viwili tofauti. Ndio sababu kuwa na degree tu haitoshi.....professions nyingi (e.g. wahasibu, wanasheria, architecture, engineering etc.) zinahitaji ufanye mitihani tena ya bodi zao.

Sasa Kabudi amekulia chuoni, ni profesa (propesa?) anafundisha sheria. Lissu ana practice sheria, sio profesa. Ukitaka kuwalinganisha hao wawili, unahitaji umakini mkubwa.
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Hivi kule kwa ma-diaspora alisemaje vile😀😀
 
Uliskiliza presentation ya huyo Kabundi huko US majuzi? Mengi aliyoongea ni uongo mtupu.. Hata kumuita kwa title ya prof naona siyo. Anafikiri kutumia tumbo wakati Tl anatumia akili. Tangu Kabundi ashike huo wadhifa Tz inashindwa tu kwny ma-kesi huko mbele!

Hana vigezo vya kulinganishwa na mh TL
 
kumbe unakubali lissu anajua kuliko kabudi ila shida yake ni kuwapq ukweli kwa lugha halisi na haipaki mafuta iwavutie watawala
Sio anajua kuliko kabudi,nadhani kipimo cha kupima hivo ni mitihani au works that they have done pamoja na hoja bila kusahau uwasilishaji(communication skills) ndio maana unaweza faulu written kwa asilimia mia moja lakini uakafeli oral na kazi ndio basi utaendelea kusikilizia bombani tu.
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Unataka ukumbushwe alichokisema Professor Marekani?
 
Kabudi ni mwalimu, ilitegemewa amwage shule.
Lisu ni nationalist fanatic, someone with fire in his stomach to persue his cause even after so many bullets.
Mpunguzieni kabudi mshahara kidogo alafu tuone shule atakayoitoa.
Nimecheka kifala... Eti "Mpunguzieni kabudi mshahara kidogo alafu tuone shule atakayoitoa"
 
Back
Top Bottom