Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,327
- 3,339
Achana naye huyo hamnazoKwahiyo kama alipanga dereva kumuua Lissu na huyo dereva ndiye aliyesema pasiwepo na ulinzi siku ya tukio, ndiye aliyeamrisha vedio za CCTV zisiweze kufanyiwa uchunguzi? Kwanza panahitaji usalama wake ndio awepo kwasababu mtuhumiwa ni serikali. Lissu yupo ni lini aliyoitwa akahojiwa? Kuna mengi hutakuwa na la kujibu ila jitahidi kuwaza tu kidogo na sio kutumia propaganda.
Serikali ipi? Hii ambayo kiongozi wake mwimbaji taarabu, au?Hawajui Serikali ipo imara na tayari! Inawalia TIMING tu!
Na zote zinaanzia kwa nyumbu!Tetesi zimekuwa nyingi sana...
Sawa Bora na Mimi nife lakini nitakufa na watu kadhaa huu ujinga mwisho SasaUnahamu ya kuwaona waliokutangulia wewe
Tumia Id yako original basiSawa Bora na Mimi nife lakini nitakufa na watu kadhaa huu ujinga mwisho Sasa
Usenge gani huu!!
Wewe original yako iko wapi Ku.ma weweTumia Id yako original basi
Zingatia historia ya sumu Mangula, Mwakyembe, nkKwani yeye ni Jiwe asiumwe? Huwa nawashangaa Chadomo viongozi Wakiwa wagonjwa wanashangiliwa na kuona kwamba ni jambo la ajabu Kiongozi kuumwa.
Kwani kafa? Mbona mnapaniki hivyo na mambo ndio yanaanza? Yakifika katikati je?Ndo mumuue sio?
Unamuita abubujikwe na chozi la burudani au?Duh !.
Hiyo ambayo imemuweka ndani Mropokaji Lissu na hakuna mbwa inayobweka hadharani!Serikali ipi? Hii ambayo kiongozi wake mwimbaji taarabu, au?
Kuthibitisha uongo wake kataa au kanusha hoja zake kwa ushahidi kwamba ni muongo. Vingenevyo unathibitisha chuki kwa Lissu iliyoshiba.Sasa yuko jela why umpe sumu?
Lissu kajimaliza mwenyewe…. Sababu ya mudomo
Kwa ujumla…. Kilichobaki sasa ni vita ndani ya ccm
Ndumuz mmejimaliza wenyewe
Ndo ujibu ndio mumuue. Tunajua mambo kuanza ndo huko kumuua na ndo mshamuwekea sumu. Kumbukeni tu dunia ni duara.Kwani kafa? Mbona mnapaniki hivyo na mambo ndio yanaanza? Yakifika katikati je?
Hata ile ya risasi 36 ilikuwa ni kuisingizia serikaliMmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
Hicho sio na wala sio roho tu. One day die. Can be now, today, tomorrow, anytime by any reason justified!Ndo ujibu ndio mumuue. Tunajua mambo kuanza ndo huko kumuua na ndo mshamuwekea sumu. Kumbukeni tu dunia ni duara.
Kina nani !?Mmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
Hizi kwanini zako zina majibu na maswali magumu ambayo huwezi kujibu. Kwanini Serikali ilikamata waliovaa jezi kumuombea Lissu, kwanini Serikali iligoma kumlipia matibabu kama zilivyo taratibu kwa wabunge wote. Kwa nini serikali iling'oa CCTV camera sehemu aliyopigiwa risasi. Kwa nini serikali ulipiga marufuku wabunge wenzake na watumishi wa umma kumsalimia Nairobi. Ukishajibu maswali takwa ndipo uulize hoja ya dereva.kwanini anamficha Dereva wake kama siyo kuogopa kuumbuka kwamba walipanga wenyewe yakaenda ndivyo sivyo
Anasema yeye ni Mtoto wa kiislamHivi Samia atauwa watanganyika wangapi ili kiu yake ya damu itulie?