PreGE2025 Lissu anasafirishwa kuelekea Central Dar es Salaam

PreGE2025 Lissu anasafirishwa kuelekea Central Dar es Salaam

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Subirini afikishwe mahakamani mkamtetee huko na teminoloji zenu hizo.
sema mmechoshwa mapema na no reforms, no election, hapo mmepata loop ya kupunguza moto wake ila mjue upinzani upo palepale hata bila hiyo reform
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.

Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.

Wengine waliokamatwa wanaachiwa huko Mbinga.
Huenda wanataka kuzuia moto wa kesho Songea.
Tatizo kamudomo

Ana hoja nzuri sana ila kauli zake nyingi ni dhalili
 
Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.

Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.

Wengine waliokamatwa wanaachiwa huko Mbinga.
Huenda wanataka kuzuia moto wa kesho Songea.
Atatia akili.Unamchezea simba sharubu.
 
Ameshazoea huyo kwani ni mara ya kwanza kukamatwa Ukisikia mpinzani ambaye hakununulika kwa magufuli na Samia ndio huyo. Magufuli alimkamata na kutakakumuua ila alishindwa na hakuonekana na kosa lolote l. Na hilo atashinda.
Ngonjera sasa hizo.
 
Uasi dhidi ya SERIKALI nchi zingine unanyongwa Hadi kufa
Kamnyongeni ili uwe raisi wa nchi halafu wewe utaishi milele hapa. Mwenzako karibuni anaenda kuwa kiongozi wa malaika kama alivyojisemea.
 
CCM hatuwapend hata kama mtatukamata wote sawa tu
 
Katika kosa ambalo wengi hawalijui ni Mwenyekiti wa chama tawala kuwa Rais wa Nchi.

Iwapo chadema itachukua nchi, Mwenyekiti wake akawa Rais wa Nchi , hakuna cha kingine kitakaa kiweze kuchukua Dola.

Kwa mantiki, hii, kuonfia CCM madarakani kwa njia ya Demokrasia haiwezekani kwa 100%.

Hivyo ,ni wakati wa vyama vya upinzani,kubuni mbinu za kisayansi za kukiondoa chama kile madarakani.
 
Akafungwe sasa kwa kesi ya uhainii, ana mdomo sana, atatoka mwezi wa 8 mwakani kwa dhamana baada ya mabwana zake wa kizungu kuja kumlilia
Mwisho wenu umefika rasmi, Makapuku wakubwa nyie
 
Back
Top Bottom