Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,381
Uasi dhidi ya SERIKALI nchi zingine unanyongwa Hadi kufaKosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.
Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.
Wengine waliokamatwa wanaachiwa huko Mbinga.
Huenda wanataka kuzuia moto wa kesho Songea.