PreGE2025 Lissu anasafirishwa kuelekea Central Dar es Salaam

PreGE2025 Lissu anasafirishwa kuelekea Central Dar es Salaam

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.

Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.

Wengine waliokamatwa wanaachiwa huko Mbinga.
Huenda wanataka kuzuia moto wa kesho Songea.
Ashughulikiwa huyo kibaraka anataka tuwe km Sudan. Familia yake ameshaitanguliza kwa mabwana zake asituharibie nchi yetu
 
Wewe mtutsi ulisema utapambana na dola? Jitokeze sasa wakule kichwa chako.
Lissu akisema kuwa kudai HAKI kwa njia ya AMANI kumeshindikana na kwamba tuzidai kwa NGUVU niko tayari.
 
Dhuluma ina mwisho,''no reforms no election''.
poleni watanzania,mageuzi anayoyatafuta TAL na wote walio pamoja naye ni kwa faida ya watanzania.
Wangeamua kuhamia upande wa pili sasa hivi wangekuwa wanakula kuku kwa mrija kama silindeee
 
Wewe acha kulalamika huku JF nenda kamsaidie huyo Msaliti na mtetea ushoga Lissu. Tena amekamatwa mbele ya watz ambao anafikiri ni wafuasi wake kumbe wako pale kumchora tu!
Hizi propaganda sio za kupiga miaka wote tunajua msimamo wa Tanzania kuhusu ushonga toka kipindi cha Makonda na serikali kutoka kukanusha kwa hiyo tubadilike tujifunze kujenga hoja hoja haipigwi Rungu
 
S
Wewe acha kulalamika huku JF nenda kamsaidie huyo Msaliti na mtetea ushoga Lissu. Tena amekamatwa mbele ya watz ambao anafikiri ni wafuasi wake kumbe wako pale kumchora tu!
Sijui inakusaidia nin? Kupata pesa na kila kitu huku binadamu mwenzako akiendelea kuteseka.CCm mwisho wenu unakuja.Hakuna kitu kinachodumu milele,majira na nyakati hubadilika .Ipo siku itakuja dhahama ndani ya ccm na mtashangaa
 
Back
Top Bottom