Ccm imepwaya mapema mno, wakizidiwa wanaomba msaada polis😂😂Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.
Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.
Wengine waliokamatwa wanaachiwa huko Mbinga.
Huenda wanataka kuzuia moto wa kesho Songea.
Afungwe kwani anacheza na timu gani popoma weweAkafungwe sasa kwa kesi ya uhainii, ana mdomo sana, atatoka mwezi wa 8 mwakani kwa dhamana baada ya mabwana zake wa kizungu kuja kumlilia
Yaani Tanzania wenzi, mafisadi, walaghai na wahuni wanatukuzwa wakati wazalendo na wa kweli wanaombewa mabaya!Akafungwe sasa kwa kesi ya uhainii, ana mdomo sana, atatoka mwezi wa 8 mwakani kwa dhamana baada ya mabwana zake wa kizungu kuja kumlilia
Mama yupo sahihi. Kuwa polisi kwa Tanzania ni kukubali kuwa mtumishi wa ibilisi.Kuna dogo amemaliza CO alitaka kuomba kazi ya Polisi, Mama yake amegoma amesema akijaribu anamwachia laana!!
Wasichojua hawa CCM na majambazi yao yanayovaa uniform ni kuwa wanazidi kukoleza moto wa No Reforms No Election.Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.
Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.
Wengine waliokamatwa wanaachiwa huko Mbinga.
Huenda wanataka kuzuia moto wa kesho Songea.
We kula ubwabwa wako ukajambe huko ,unadhani Lisu ni kama nyie?Akafungwe sasa kwa kesi ya uhainii, ana mdomo sana, atatoka mwezi wa 8 mwakani kwa dhamana baada ya mabwana zake wa kizungu kuja kumlilia
Mimi nilitegemea mpaka sasa mngelikuwa mmeishakiwasha na Lissu keishatoka, kumbe unawachukia tu Polisi? Haya!Halafu kuna watu eti wana urafiki na polisi!! Mimi hata ndugu yangu akiingia kwenye hiyo kazi namtenga.
Hajatia akili kipindi cha Ben,Jakaya,Jiwe, atatiaje akili kwa huyu!!!??Atatia akili.Unamchezea simba sharubu.
NIkipi aliropoka ambacho sichakweli?hatakama umekunywa maji ya bendera tambua nch hii ikianguka hatuna nyingine tunawajibu wakuilinda na kulinda raslimali zetu.sasa tumezigawa kwa wazungu na hatuon faida yake au unaweza kutuambia kama taifa ubinafsishaji wa nch hii umetusaidia kwa kias gan kwenye maendeleo yetu.mirad yote mikubwa nimikopo tu.na bado tunabanana na makod na tozo kila kukicha.Ukisoma comments zinazotolewa hapa na keyboard worriors unaweza dhani Lisu ni mtu mmoja maarufu Tanzania kumbe ni mropokaji mmoja wa huko Ikungi-Singida
Labda utaandamana hapa JF. Huyo Lissu wako amekamatwa mbele ya watz mkutanoni na watz waliendelea na shughuli zao kama kawaida.
Walikuwepo wenye jeuri awamu ile zaidi yenu. Kila jambo linamwishoWafuasi wake nendeni mkakinukishe sasa
Hanaga aibu
Keyboad warrior!!11 Julai 2025
WAZO LA LEO
View attachment 3402156
Hakika baada ya mifumo yate ya haki kuamua kuididimiza CHADEMA kuna haja sasa ya umma kufanya uasi, bila hivyo Bunge halitatunga sheria zenye haki, mfumo wa haki jamii utaendelea kutumikia matakwa ya CCM na pia vyombo vya dola kukandamiza uwepo wa vyama vya upinzani
10 Julai 2025
Mbeya, Tanzania
KESI YA MDUDE NYAGALI
View attachment 3402158
11 JUNI 2025
MAHAKAMA YASITISHA SHUGHULI ZA CHADEMA KWA MUDA USIOJULIKANA
View attachment 3402166
Keyboad warrior!!
Amefika?Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.
Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.
Wengine waliokamatwa wanaachiwa huko Mbinga.
Huenda wanataka kuzuia moto wa kesho Songea.
Labda utaandamana hapa JF. Huyo Lissu wako amekamatwa mbele ya watz mkutanoni na watz waliendelea na shughuli zao kama kawaida.