Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,577
Mimi binafsi huwa simkubali kabisa Lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa, lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.
Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.
Nawaomba CHADEMA mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa
Lissu hana tena support anapopita kufanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.
Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?