Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Mwenyekiti angepewa Nyalandu sasa hivi ingekuwa ni mtafutano, ndio maana Mbowe alishasema sumu haijaribiwi kwa kuilamba🀣
Ila hao jamaa wanaoenda chadema wakitokea ccm mimi nasema aibu yao woteeee.
Kwani kama kuna matatizo walifuata nini? Ninashawishika kuamini kwamba huwa wanatumwa.
 
mwaka 2000, nikiwa na "Dk. Wilbrod Slaa" na wengine watatu, tulitoa magari yetu tukatembea nchi nzima kufanya mikutano.
Leo hii dr Slaa anaitwa dr Mihogo na misukule yako huku wengine wakiambatanisha na matusi, ww kama mwenyekiti umeshindwa kutoka hadharan kuwakemea hao mbwe.ha koko waliokuwa wanamchafua yule mzee alietumia nguvu zake na mali zake kupigania chama. Ilifikia kipindi dr Slaa alionekana hana thaman hata mbele ya "mr zero" kisa tu mshiko wake aliotumia kuhonga chama. Ki ukweli na bado dhambi ya kumtukana na kumdhalilisha dr Slaa itaendelea kukitafuna chama na wanachama kwa ujumla. Hongera pesa kwa kutuonesha ni nani mwenye roho ya utu na nani mwenye roho ya kutu.
 
Hao akili zao zimeganda
 
Alafu kuna mtu atakuja ataanza kuimba mfumo mfumo
 
Mbowe ni CHADEMA na CHADEMA ni Mbowe.

Bila Mbowe hakuna CHADEMA.

Ila BAVICHA wakisha kula mirungi, wanasema CHADEMA ni Taasisi.

Labda taasisi ndio Mbowe.
Kama vile hifadhi ya burigi
 
Mwenyekiti angepewa Nyalandu sasa hivi ingekuwa ni mtafutano, ndio maana Mbowe alishasema sumu haijaribiwi kwa kuilamba
Myalandu alitumwa kutafuta upenyo wa kuimaliza cdm kama walivyofanya kwa ACT
 
Mbona kama umeitoa hewani tu hii?

Mbona kama umejitungia tu hii kwa kumlisha maneno..?

Usinielewe vibaya tafadhali...

Sina maana ya kupinga kuwa nakataa hii kauli haijatoka kwa Freeman Mbowe...

Ninachotaka ni authentication ya kauli ya kwa wewe mleta mada kunukuu maandishi ya mkono wake au video clip ikionesha akitamka maneno haya yeye mwenyewe....

Lakini kwa namna hii, si kosa mtu kuya - label haya kuwa ni UMBEA WA MITAANI TU huu..

Hii inaweza ikawa ni umbea tu na watu wataanza kujadili umbea..

Au yanaweza kuwa ni maneno yake lakini si halisi bali kwa minajili ya political propaganda, yametiwa chumvi nyingi ili kutimiza kusudi fulani la kisiasa la mleta mada au la wale anaowatumikia....
 
Sasa mtu kama mmawia unategemea akili atoe wapi mkuu
 
yaani ungejuwa tuko busy na mambo yetu wala usingehangaika kumtetea huyo mwenyekiti wa maisha wa cdm ukitaka uenyekiti tu lazima upotee kama wangwe na saa ngapi sijui
 
Mwenyekiti angepewa Nyalandu sasa hivi ingekuwa ni mtafutano, ndio maana Mbowe alishasema sumu haijaribiwi kwa kuilamba
Acha Nyalandu kuna yule Mwambe aligombea uenyekiti huku akiunga juhudi. Sishangai alipojiuzulu ubunge Ndugai akamfuata nyumbani kurudi bungeni. Bora ya Mbowe mara elfu kuliko vichomi toka Ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…