Lisemavyo gazeti la Kimataifa kuhusu CCJ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lisemavyo gazeti la Kimataifa kuhusu CCJ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, May 18, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 18, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  An arm to Blackmail Kikwete

  The new party CCJ could become a gathering point for MPs disillusioned with President Jakaya Kikwete but who do not want to join the opposition.

  The party Chama cha Jamii (CCJ), created a few months ago by political newcomers Richard Kiyabo as chairman and Renatus Muhabhi as general secretary, would seem to have become merely a refuge for outgoing MPs who have not obtained the investiture of the Chama cha Mapinduzi (CCM, government party) for the general election in October 2010. But since the CCM MP Fred Mpendazoe begin_of_the_skype_highlighting end_of_the_skype_highlighting, left the government party (and his seat in Parliament) to join the new movement at the end of March, another possibility has been developing: the CCJ could become a war machine for partisans of the anti-corruption fight wanting to apply pressure on President Jakaya Kikwete.

  To be sure, Mpendazoe shares the opinion of several other CCM MPs who want the former Prime Minister Edward Lowassa and the MP Rostam Aziz to be brought to trial for corruption and Edward Hosea, the general director of the Prevention & Combating of Corruption Bureau (PCCB) be sacked from his post (ION 1272). The former Speaker of the Assembly, Pius Msekwa and a few MPs (Harrison Mwakyembe, Anna Malecela, James Lembeli, Lucas Selelii etc.) are precisely on this wavelength. Since then, certain of them could be following Mpendazoe's example.

  Furthermore, the CCJ is also seen well by certain political veterans still following the lines of the late President Julius Nyerere, such as Joseph Butiku, the chairman of the Mwalimu Nyerere Foundation and the former Prime Minister Joseph Warioba. Such a banner could even field Salim Ahmed Salim, the former general secretary of the OUA, as a candidate in the presidential election.

  (Africa Intelligence)
   
 2. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji, are you one of the think tanks behind ccj or are you just a "fan"?
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahahahah Mh Tendwa akisoma hii walahi hatoi usajili wa CCJ!
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  May 18, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  wameshasoma hii; as a matter of fact upinzani mkubwa dhidi ya CCJ unatoka Ikulu. Wanafahamu mojawapo kuwa mtu kama Salim aki defect au baadhi ya waasisi wengine wakaamua kuachana na CCM litakuwa ni pigo kubwa zaidi kwa JK. Kuna vitu viwili ambavyo Kikwete hataki vitokee chini yake:

  a. Kuvunjika kwa Muungano
  b. Kuvunjika kwa CCM

  Hilo la Muungano keshalipatia suluhisho kwani halimuuzi. La CCM bado hajapata dawa. Na kwa sasa anajua kabisa kuwa CCJ ndio sehemu pekee ambapo wana CCM wakongwe wanaweza kujipanga upya na si kwenye chama kingine kikongwe cha upinzani. Ni kutokana na kuelewa huku ndio utaona ni kwanini CCJ inakuwa tishio kupita kiasi siyo kwa wapinzani wengine bali hasa kwa walio madaraka.

  Lakini kubwa zaidi pia ni kutambua kuwa baadhi ya mambo ambayo yamependikizwa na counter-intelligence tangu kuanza kwa CCJ yalikusudiwa kuwa na effect hiyo na yamefanya vizuri kuliko ilivyotarajiwa. CCJ isingeanzishwa na counter-intelligence zilizotumika sidhani kama watu wangekuwa wanazungumzia CCJ at all.
   
 5. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2010
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  sina hakika kama anaweza kuzuia la kuvunjika kwa CCM. Maana kila siku naona anafanya yanayo-injinia kuvunjika kwake
   
 6. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hiyo ya msekwa ni typo error au? wangesema six ningekuwa msikivu kidogo.
  Mungu ajalie haya yatimie. Maanake hakika hata hilo jembe la MKJJ litadondoka na tunaweza kuanza mahesabu mapya kuwa sasa kilimo cha jembe la mkono basi, sio propaganda za kina Pinda na kilimo kwanza.
   
 7. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Na mimi nimestuka hapo kwa Msekwa Makamu wa CCM Tanzania Bara
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Msekwa na Kingunge hawana tofauti. Hawa ni wafuata upepo.
   
 9. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,554
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  ccj mnaamini kwamba hata kama mkiimega ccm potelea mbali every body?its a gamble we'll c
   
 10. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #10
  May 18, 2010
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Tatizo la walio nyuma ya ccj wanataka wale keki na wabaki nayo, hiyo itakuwa ngumu. Lazima waamue moja
   
 11. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Our politicians need to be true patriots.

  Ntafurahi sana kama Dr. Salim atajitoa CCM na kwenda kugombea urais kupitia CCJ au chama kingine chochote.

  Kwenye kongamano la Nyerere waliongea mambo mengine sana kwa manufaa ya taifa ambayo wanajua JK hawezi kuyatolea maamuzi. Kwann wasiachane na CCM na kujiunga na upinzani ili waiweke nchi katika mstari sahihi?!

  The right thing that he can now do it to quit CCM and join opposition. Asipofanya hvyo hatakuwa mzalendo wa kweli. Haiwezekani aone nchi inapelekwa kuangamia halafu anyamaze ashindwe ku-play his part.

  Inflation inakaribia double digits, mishahara ya wafanyakazi kima cha chini haiwezi kufikia 315,00/= even after 8yrs, donors wamepunguza misaada by 25% (I think), Nchi haina Vision inayoeleweka kwa kila mwananchi kwamba over the next 50 to 100 years tunataka nchi yetu ifikie level gani, bei ya petrol na vyakula inapanda kila kukicha, barabara zinaharibika kila kukicha and no action, bidhaa feki zimejaa mpaka tunaziona ni genuine, Tshs inazidi kushuka dhamani kila siku, hata kuzuia matumizi ya dollar nchini ameshindwa ndo kwanza ana insist TRA wawe wanadai kodi kwa dollar(Si aifute shillingi kabisa tujue hatuna hela), umeme nao unapanda, nauli za daladala nazo zinapanda, mabasi yandayo kasi yamekuwa nightmare, traffic jam kashindwa kuiondoa, yaani hata kuplan kuhamisha uwanja wa ndege uende nje ya mji hawezi, anafaikiria kuendelea kuwabomolea watu (Sijui tutabomoa mpaka wapi?). It is a mess, I can't even mention EPA, Richmond and the like.

  Tunapelekwa na sera mpya kila kukicha zisizo na mchanganuo wa kweli wa kiutekelezaji. Mara kasi mpya, mara misha bora, mara kilimo kwanza na nna uhakika wakati wa uchaguzi atakuja na mpya.

  Pamoja na hayo yote; I still strongly believe: one day change will happen, and I'll be part of that change!
  Sure I'll!

  God have mercy with this Country!
   
 12. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hakuna lisilowezekana, kwa mwanadamu mwenye kujitambua kwa yaliyo ndani ya mwanadamu tuombe sana Mungu hayo yote yatokee

  1. kuanguka kwa ccm

  2. na kuvunjika kwa muungano

  maana kutokea kwa hayo yote ndiyo kuinuka kwa taifa jipya la Tanganyika
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Haya bwana mi yangu macho. Naamini yule mtu mzima aliyekuwa analalamika mwenyewe "we have responsibility, we have responsibility" bila kuisema bayana pengine alimaanisha CCJ. Hii inawezekana nayo imepikwa kule wanakopika chakula cha wakuu wenyewe ndio maana inawazungusha vichwa.
   
 14. M

  Munkya Member

  #14
  May 18, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kila la heri ccj katika kuleta mabadiliko katika nchi ye2 sisi tunahitaji chama kitakacho leta mapinduzi ya kiuchumi na maendeleo kwa ujumla...kwani 2mechoshwa na propaganda za ccm
   
 15. e

  echonza Senior Member

  #15
  May 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Even God says in HIS Holy Book that, how can one know the true prophet during teaching/or preaching the followers.

  By his words, and acts the true prophet should be identified. The true political party for this case should be identified by its constitution clauses! The contemporary Tanzania's economic, political and social status is known to everyone. Let's stop blaa blaa and stick to the facts. Any political party which comes with strong constitution clause addressing people's problems solutions, why not to be considered the right party for the country?

  I am not a member of any political party but when comes to talking which political party has got such a convincing constitution to consider, I can cite CCJ. Forget about the people who are in this party, but what are the vision and mission as interpreted in the constitution? For anything to be successful should have a good plan, guided by a sound strategic plan to implement what is planned and then outputs can be realized. This author is a person like other people, so saying CCJ could be a refuge party is wrong according to me. The word refuge is wrongly used there. People have to decide to a move which they see reasonable to take. They are not forced but in a democratic way choose where to go after losing hope from the ongoing system.

  Let's wait and see in some five two ten years to come what will happen with Tanzania's politics rather than being so stereotype oriented thinking.
   
 16. M

  Mkandara Verified User

  #16
  May 19, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mzee Mwanakijiji,
  Suluhisho ya mgongano ndani ya CCM kunaweza kabisa kuigawa CCM lakini tatizo ni kwamba wajumbe watakao ondoka hawafiki 20. Hivyo mabadiliko ya kweli kuunda serikali CCJ inahitaji nguvu zaidi ya hawa wajumbe 20 ambao wanawakilisha hoja zilizowapeni sifa nyie kina Mwanakijiji, Dr.Slaa, Zitto na lile kundi la mashujaa wa CCM.

  Nitafurahi sana kuona hawa watu kina Salim wakiweza kupambana na uongozi wa CCM ndani ya uchaguzi wa CCM ili kurudisha hadhi iliyopotea, lakini kama watatoka nje na kujiunga na Upinzani ni muhimu wapate baraka za wapinzani (wanachama wa Upinzani) laa sivyo hili ni kundi dogo sana lenye urahisi wa kubomolewa na CCM Kiutawala na kisiasa. Kama wanashindwa kuleta mabadiliko ndani ya CCM kwa hofu ya kuzidiwa nguvu wataweza vipi kudai haki hizo nje hali haibadilishi mazingira!.
   
 17. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Uhuru huwa hauombwi. Tuliwasaidia Southern African countries kupata uhuru hivi sasa tupo katika mapambano mengine ya kujikomboa kutoka makucha ya mafisadi ambao wamejichomeka kwenye society yetu. Hawa ni ndugu zetu wajomba zetu kaka zetu na dada zetu. Ili tuendelee ni jukumu la kila mmoja kutokuwaonea haya akina Jakaya Kikwete et al na kuwawajibisha popote pale watakapo jitokeza.

  Wamevaa ngozi ya kondoo wakati ni simba wala watu, sio lazima tuwe na wanachama millioni kumi kuwamaliza hawa vimburu. INAHITAJI MOYO NA DHAMIRA YA KUWANG'OA KAMA TULIVYOWANG'OA WAKOLONI.
   
 18. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2010
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  mmh, sasa kama ccj sio opposition ni nini? ngoja niende taratibu mie.
   
 19. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  ngoja na mimi niwe Tendwa sasa ...'but who do not want to join the opposition' alitaka kuandika 'but who do not want to join other opposition parties' hapo nakumbushia JK na Tendwa kuhusu kitochi.
   
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji Hili gazeti la kimataifa linaitwaje au muandishi wa hiyo article anaitwa nani.?

  But anyway hope hiyo analysis au hayo maono ya mchambuzi yawe si tu ya kweli lakini yaje very soon
   
Loading...