The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,653
Hivi mnamkumbuka Lamwai?
Mnamkumbuka alivyokuwa anaikosesha usingizi serikali ya Mkapa?
Halafu siku moja tukasikia 'ameenda kumuomba Mkapa radhi hadharani'?
Na picha zikatoka kwenye magazeti akiomba radhi?
Mwisho akapewa ubunge....?
Mpaka leo huwa bado namkumbuka Lamwai....alibanwa kila njia hadi 'akasalimu amri'
Baada ya kuona leo Lipumba yuko na polisi lakini body language yake na sura yake ni kama 'anapokea tu maagizo' kama anayoyafanya 'hayako moyoni'
Nimejiuliza isije kuwa yuko 'blackmailed'?
Watu wakiwa 'blackmailed' hufanya jambo kinyume na utashi wa roho yake....kwa kuhofia tu akikataa 'watamkomesha'
Lipumba sio mtu wa kukusanywa na kina Kambaya na kupewa tu maagizo fanyeni hiki.
Lipumba shughuli zake za kiuchumi anahitajika dunia nzima.
Inakuaje leo anakusanywa na watu wa kukodi kwenda kuharibu mkutano?
kuna nini?
Hata yeye Lipumba ukimtazama sura ni kama yuko way uncomfortable kabisa na kinachoendelea lakini ndo 'hana jinsi' inabidi 'awatii' 'the people behind' ili tu 'wasimkomeshe.
Tusije kuwa tunamlaumu 'the victim' tu hapa.