Mkuu The Boss, hakuna blackmail yoyote bali amejichanganya tuu kwa kupagawa baada ya lile fungu kuisha.
Prof. Lipumba japo kitaaluma ni mchumi, ila kiukweli he is a politician by professional, ameifanya siasa ndio ajira yake ya kudumu na hana shughuli nyingine yoyote ya kufanya, au jambo jingine lolote la kufanya ili kuendesha maisha kama yule dr mihogo!.
Mtu amegombea mara 4 na zote amekataliwa hakuwahi kupata hata asilimia 5% lakini kila baada ya miaka 5 lazima awe mgombea wa CUF hadi kufikia yeye na sharubu kujihesabu wao ndio wagombea pekee wa kudumu wa CUF kwenye urais, ndio maana kuliko kukosa kugombea, bora apokee kile kidogodogo cha CCM, na kujitoa ili CUF ivunjike!, kajitoa, CUF haikuvunjika!, fungu alilopewa ni kiduchu tuu!, afadhali mwenzake kapewa mkataba mrefu, yeye fungu limeishamuishia na hana namna nyingine yoyote ya kuendesha maisha yake!.
Sasa CUF wasipomrudisha atafanya nini kingine?!, kwa sababu ubunge au udiwani hawezi kupata kwa sababu hachaguliki!, unategemea nini kwa mtu kama huyu?!, hivyo juhudi zote unazoziona za kumrejesha ni kwa sababu he has nothing else to do.
Ninawaomba CUF please mrudisheni tuu Prof. Lipumba kwenye nafasi yake vinginevyo atapata psychological depression na hatimaye kuja...
Pasco