Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Bora kura yangu nipigie hata jiwe lenye rangi ya Chadema kuliko mafisisiem
 
Ameenda kukabidhiwa fedha alizohongwa kwani nasikia ni fedha nyingi na namna ya kumkabidhi ilileta changamoto kubwa. Walimwambia aende akafungue account nchi fulani halafu wazihamishe.
 
Unaona sasa.Angekuwa na family angeifikiria hyo kwanza.Sasa jamaa anaishi kibachelor utu uzima miaka nenda rudi yanapompata ya kumzonga amwambie nani zaidi ya kukimbia kimbia2. Tujitahidi jamani umri wa kuwa na mke wa kukuliwaza ukifika hatuna budi kuoa ili panapo makuu kukuzonga watusaidiee.Wasalimie hko uliko Prof

.
Hivi ni kweli prof,hana mke kabisa? Na mtoto wa ujanani hata huyo hana?
Kwa kawaida ukiwa mzee bila familia unayowajibikia kama hutakua mchawi basi ni lazima uwe msaliti.
.
 
Hakujiweka pembeni Kwa sababu hiyo yako peke yako. Tambua kuwa Lipumba kanunuliwa na Membe Kwa pesa za marehemu Gadafi pia ccm Kwa pesa za walipa Kodi ,sasa hivi kaenda kununua Nyumba Nje na kuficha hizo pesa kisha kuoa huko huko ili aanze maisha mapya ya kuneemeka na Mapesa ya Gadafi aliyopewa na Membe .

Kama hilo unaweza kulithibitisha basi Prof anahaki ya kuitwa msaliti
 
Katuvunja sana moyo wapenda mabadiliko

Safari inaendelea mkuu,hata kama alienda kuwapa siri za UKAWA kama adui mkubwa wa CCM.

UKAWA badilisheni strategies zenu maana nawasiwasi Lipumba atawamegea maadui wenu hivyo kushambuliwa kirahisi.
 
Humu vimejazana vikundi viwili bavicha na team lowassa vinatiana ujinga,jf imevamiwa,bora uchaguzi uishe muondoke na mzoga wenu mrudi nao Facebook tuendelee na mambo mengine
hao vijana wanajina maarufu siku hizi. wanaitwa nyumbu.
 
Ni hayawanj pekee ambae haelewi sababu za prof lipumba kujiuzulu tusiwasinigizie CCM
 
Aende zake tu,safari ya mabadiliko haijawahi kunyooka popote duniani!
 
Jamaaani hii ndio Tanzania,kwani yule dkta aliekua anasimamia mgomo wa madaktari muhimbili yuko wapi siku hizi?

mi naona wa2 wanaongea bila kufikilia mambo ya selikali ya tz inawezekana hakutaka kabisa kufanya iv ila amelazimishwa nae akaofia maisha yake jamani mbona alikuwa mstali wa mbele na gafla abadilike na kama ni maamuzi yake ni nini kilichomfanya akimbie?
 
Mtakufa njaaa nyie fanyeni yenu wenyeviti wanapiga pesa nyie Mnapiga kelele hapa unadhani wangepata mgao wakutosha wangeondoka lipumba maskini alikuwa hajui kinachoendelea kuhusu mpubga kamkaribisha lowasa kwa shangwe zote kuja kujua akabaki anashangaaa he he mbowe self hahaha mbaya sana hii kitu mihelaaa
 
Back
Top Bottom