Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Wewe na chanzo chako ni MABOGAS tu,mara hii katua RWANDA saa 7 huko awali ukisema HAIJULIKANI kaenda nchi gani ila ndege zilizobak ni za nchi 4 tu.
We ni hayawan kushabikia vitu visivyoeleweka.
UKAWA BADO IKO NGANGARI NGUNGURI_subiri wakuletee BALALI akiwa hai.
 
Haya yote ni mApambano nahis yanaelekea pazuri acha lipumba aende vijana washike hatamu ya cuf
 
kwa hiyo dr slaaa, lipumba, wote wameshiriki kumkaribisha lowasa fresh tu, alafu sasa wote wanaitaji mapumziko....
 
Humu vimejazana vikundi viwili bavicha na team lowassa vinatiana ujinga,jf imevamiwa,bora uchaguzi uishe muondoke na mzoga wenu mrudi nao Facebook tuendelee na mambo mengine

Uvccm hawapo Magamba hawapo nina wasiwasi na jinsia yako
 
Unaona sasa.Angekuwa na family angeifikiria hyo kwanza.Sasa jamaa anaishi kibachelor utu uzima miaka nenda rudi yanapompata ya kumzonga amwambie nani zaidi ya kukimbia kimbia2. Tujitahidi jamani umri wa kuwa na mke wa kukuliwaza ukifika hatuna budi kuoa ili panapo makuu kukuzonga watusaidiee.Wasalimie hko uliko Prof
 
Kwa taarifa yenu Ukawa ilinunuliwa cash siku nyingi! Pigeni domo tu ila Lowassa na Mbowe ndio wabia wa hiyo new bussines in town! Atakayewakosoa anajikuta mwenyewe nje ya box! Hahahah! Slaa, Lipumba, next..... ..!

Next mbatia.
 
Wadau.

Akiwa amepewa sabuni ya roho ndani ya ulinzi unaomridhisha,huyu bwana aliyemsifia sana EL siku alipojiunga UKAWA kapanda ndege ya Kagame RWANDAIR kufika Nairobi then aunganishe Kenya Airways mpaka uwanja uitwao OLIVER THAMBO...

Yadaiwa atatoka Johannesburg baada ya siku tatu kwenda London.

Lengo ni kukwepa hasira za wana CUF aliowasaliti.

Kizuri ni kwamba siku hizi watu wanajitambua huku mitaani wanakuambia aende tu asihau na mke wake kabisa kwa jinsi watu walivyoichoka ccm hata habari hawana wao mbele kwa mbele.
 
Magufuli hawezi kumkubali Huyo kigeu geu pia alichokisoma Kwa sasa hakina mashiko, Elimu yake kichwani haimo tena anawaza Cha juu na Tamaa ya pesa, kwanza kaenda kununua Nyumba Dubai na kuficha pesa kisha Aoe Mke huko huko akitarajia kuwa siku akiludi Watanzania watakuwa wameshasahau . Lipumba hafai kuwa mshauri wa Rais kwani Ushauri wake Kwa Mwinyi ulivuruga Uchumi wa Tanzania na kuiporomisha shilling ya Tanzania Kwa kasi kubwa hafai hata kuwa mshauri wa kijiji.

mhh!! nyie watu ukawa hamfai kabisa, juzi tu mlikuwa mnasema Lipumba mpambanaji leo mnamponda kiasi hiko. kweli ukawa/chadema ni kama ma*fi*si hayana shukurani hata kidogo
 
aondoke hata mbowe ila mwakaa huu hatutak ccm
 
Mnaoshabikia siasa zisizokua na maana mtaendelea kupata shida sana! Kwani Lipumba aliwaambia siasa ni mama au baba yake? Lipumba ni mtu huru na ana haki ya kujiamulia mambo yake mwenyewe alimradi haingilii uhuru wa mtu mwengine. mwacheni Prof. afanye yale anayoona yana maslahi kwake na familia yake.
 
Nyumbu kazini ..maneno hovyo hovyo redio mbovu inaafadhali
 
wasalamu wanandugu,

habari nilizozisikia hivi punde ni kwamba prof. Ibrahim lipumba ameondoka nchini na ndege ya rwanda jana baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari.

==========================================



chanzo: Mtanzania

hili gazeti ni fisadi papa au fisadi nyangumi ?
 
Mhhh. Huyu si ana kesi ya jinai. Au ndio ishafutwa tena?
 
kama yuda alivyo chukua vipande thelathin ili amsaliti bwana yesu. lakini mwishoe ilijinyonga
 
Back
Top Bottom