Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

ndugu unajua kusoma kweli? Kama umesoma mawio saed kubenea amesema kuna mawasiliano ya hawa watu na kiukweli hamna siri ya watu wawili. Na akasema walikuwa wanawasiliana kwa email.

Ngoja nikuulize ni lini ccm ilikuwa na mapenzi mema na slaa ambaye mlimuita padri mzinifu? Je leo slaa sio mzinifu?

Wee Kichwa umepewa kufikiri sio kukariri makala za Propaganda, Slaa na Watu wa Usalama ni wajinga kiasi gani kutumia njia isiyo salama zaidi ya email wakati wanajua kabisa mlishwahi kuripoti kudukua email ya Zitto kabwe? Yaani Slaa kwa akili yako ni mwepesi sana kiasi cha kuweza kuwa na mawasiliano ya siri kwa Njia ya email?. Hapa tunajadili facts, Slaa akikosea anakosolewa na akionewa lazima nipaze sauti kwa kiwango changu
 
Wee slaa hawez anajua umafia uliopo
CHADEMA, kuna wamachame pale wana roho ngumu
Kuliko usalama wa taifa.

Kwa hio hao wamachame wako juu ya sheria?

Serikali haiwezi kuwashughulikia?
 
Yule Lipumba mamluki kama mmeangalia Jana alikuwa anasindikizwa na usalama wa Taifa kutoka kwenye gari. Na akaambiwa aishie zake nje huko
 
Profesa alishajijengea utaratibu wa kutukana mafisadi..Sasa nafsi yake inamsuta..
 
Yule anatamaa amesha nunuliwa alikua wp siku zote vikao vyote Ameshiriki a naona chama lipo kamili analeta ujinga profesa gani yule au ni profesa kama hawa wa uganga? ?
 
Kipindi cha nyuma Kabla chadema haijajijenga Mbowe akiwa anagombania ubunge alikuwa akimnadi lipumba wa CUF kama mgombea uraisi. Lipumba kujiuzulu wala haipo withing sababu alizozitaja yeye ila alingangania sana ateuliwe yeye kuteuliwa kugombea kupitia ukawa hadi kusababisha wenzake katika chama kumkaripia kuwa anakwamisha harakati. Miaka yote aliyogombania uraisi kwanin asiache na wengine tofauti wagombee? Mbona Mbowe alimfanyia kampeni na walikuwa vyama tofauti?

Tatizo ni Mgao wa Pesa wamedhulumiana kama tatizo ni kugombea mbona ndo alimkaribisha Kabisa Lowassa na akawa anamjibia maswali ya kiuchumi
 
Ana bahati yaani anakimbia vitani daaaah
 
Aende hata hiyo ndege ipotelee huko angani hana faida kwetu tena mnafiki mkubwa huyo angeenda hata kuzimu
 
Wadau.

Akiwa amepewa sabuni ya roho ndani ya ulinzi unaomridhisha,huyu bwana aliyemsifia sana EL siku alipojiunga UKAWA kapanda ndege ya Kagame RWANDAIR kufika Nairobi then aunganishe Kenya Airways mpaka uwanja uitwao OLIVER THAMBO...

Yadaiwa atatoka Johannesburg baada ya siku tatu kwenda London.

Lengo ni kukwepa hasira za wana CUF aliowasaliti.

Akiwa kama Profesa na mwanaupinzani aliyesifika kila kona ya nchi alipaswa kusimamia maamuzi yake pasipo hofu huku akiwekeza katika kuwaelimisha wafuasi wake as to why amefanya alivyofanya na si kuwakimbia.

Kitendo cha yeye kukubali kuishi maisha ya digidigi baada ya uamuzi wake ni dhahiri kuwa hana confidence na maamuzi yake either kwa sababu ya kushinikizwa au kushawishiwa kuyafanya au uwoga na aibu ya kujulikana utumiwaji wake katika kuua upinzani Tanzania.
 
...wamelinunua tayari hili professor la majitaka...litakaa huko pesa zikiliishia litarudi na mipovu.....i hate this kind of TZ politicians yani....mitumbo yao ndio sera zao.....
 
Kwa taarifa yenu Ukawa ilinunuliwa cash siku nyingi! Pigeni domo tu ila Lowassa na Mbowe ndio wabia wa hiyo new bussines in town! Atakayewakosoa anajikuta mwenyewe nje ya box! Hahahah! Slaa, Lipumba, next..... ..!
 
Jamaaani hii ndio Tanzania,kwani yule dkta aliekua anasimamia mgomo wa madaktari muhimbili yuko wapi siku hizi?
 
Kwa taarifa yenu Ukawa ilinunuliwa cash siku nyingi! Pigeni domo tu ila Lowassa na Mbowe ndio wabia wa hiyo new bussines in town! Atakayewakosoa anajikuta mwenyewe nje ya box! Hahahah! Slaa, Lipumba, next..... ..!
 
Wasalamu wanandugu,

Habari nilizozisikia hivi punde ni kwamba Prof. Ibrahim Lipumba ameondoka nchini na ndege ya Rwanda jana baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari.

==========================================



Chanzo: Mtanzania

Prof. Lipumba ni makubaliano yepi ndani ya UKAWA yaliyokiukwa? Umenikumbusha mtu aitwaye Bw.Benard Mapalala!!! Yaani sijawahi kuona ama kusikia msomi na kiongozi wa ovyo kama Prof Lipumba. Kwa hiyo unahamia CHAUSITA ya Mapalala. Ama kweli mzigo mzito mpe Mnyamwezi.
 
safi sana profesa,, kapumzike maana kuna mijitu huku ingekufanyia fujo..
unefanya uamuzi sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom