minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,421
- 22,433
Lipumba mshauri mtarajiwa wa Pombe magufuli wa masuala ya uchumi, afadhali kakataa kuingia mtego wa fisadi EL
Magufuli hawezi kumkubali Huyo kigeu geu pia alichokisoma Kwa sasa hakina mashiko, Elimu yake kichwani haimo tena anawaza Cha juu na Tamaa ya pesa, kwanza kaenda kununua Nyumba Dubai na kuficha pesa kisha Aoe Mke huko huko akitarajia kuwa siku akiludi Watanzania watakuwa wameshasahau . Lipumba hafai kuwa mshauri wa Rais kwani Ushauri wake Kwa Mwinyi ulivuruga Uchumi wa Tanzania na kuiporomisha shilling ya Tanzania Kwa kasi kubwa hafai hata kuwa mshauri wa kijiji.