Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,359
Ongeza na anayejua tarehe ya kesi yake ni lini?
Naunga mkono hoja.CCM inakosea sana, badala kuwanunua viongozi wenye njaa ilitakiwa itununue sisi wananchi wapigakura kwa kutuboreshea maisha na kuacha ufisadi
Inamana ndio hatorudi tena?Wasalamu wanandugu,
Habari nilizozisikia hivi punde ni kwamba Prof. Ibrahim Lipumba ameondoka nchini na ndege ya Rwanda jana baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari.
==========================================
Chanzo: Mtanzania