Wee Kichwa umepewa kufikiri sio kukariri makala za Propaganda, Slaa na Watu wa Usalama ni wajinga kiasi gani kutumia njia isiyo salama zaidi ya email wakati wanajua kabisa mlishwahi kuripoti kudukua email ya Zitto kabwe? Yaani Slaa kwa akili yako ni mwepesi sana kiasi cha kuweza kuwa na mawasiliano ya siri kwa Njia ya email?. Hapa tunajadili facts, Slaa akikosea anakosolewa na akionewa lazima nipaze sauti kwa kiwango changu
kwa hiyo cku hizi mnatumia njia gani kuwasiliana nae? ni lini mmeanza kumpenda slaa ambaye ni padri mzinifu?
Kama hamjui ku kusimami siasa ni kusimamia principle, basi hata kile mnachotaka wala hamtakipata.Shule Tanzania inadhalilisha sana lipumba aeleweki ni profesa au riprofesari
chief Hapa nadhani umendanganya,yaani kwenda jobeg kwa Rwanda air then KQ ni gharama kubwa na unatumia muda mwingi kuliko kwenda na SA moja Kwa moja.nahisi Hapa umeweka chumvi
Wee Kichwa umepewa kufikiri sio kukariri makala za Propaganda, Slaa na Watu wa Usalama ni wajinga kiasi gani kutumia njia isiyo salama zaidi ya email wakati wanajua kabisa mlishwahi kuripoti kudukua email ya Zitto kabwe? Yaani Slaa kwa akili yako ni mwepesi sana kiasi cha kuweza kuwa na mawasiliano ya siri kwa Njia ya email?. Hapa tunajadili facts, Slaa akikosea anakosolewa na akionewa lazima nipaze sauti kwa kiwango changu
Wasalamu wanandugu,
Habari nilizozisikia hivi punde ni kwamba Prof. Ibrahim Lipumba ameondoka nchini na ndege ya Rwanda jana baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari.
==========================================
Chanzo: Mtanzania
Alisema roho yake inamsuta inawezekana kuondoka ndio roho inamsuta zaidi pole Lipumba kwa kuacha askari wako kwenye mapambano makali Lakini tutashinda na zaidi ya kushinda. katika pitapita yako huko ulipoenda basi njoo na Balali tumalize kazi.