Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,503
Inasikitisha sana aiseeAkiwa kama Profesa na mwanaupinzani aliyesifika kila kona ya nchi alipaswa kusimamia maamuzi yake pasipo hofu huku akiwekeza katika kuwaelimisha wafuasi wake as to why amefanya alivyofanya na si kuwakimbia.
Kitendo cha yeye kukubali kuishi maisha ya digidigi baada ya uamuzi wake ni dhahiri kuwa hana confidence na maamuzi yake either kwa sababu ya kushinikizwa au kushawishiwa kuyafanya au uwoga na aibu ya kujulikana utumiwaji wake katika kuua upinzani Tanzania.