uongo ukisemwa sana ukaachwa hugeuka kuwa ukweli!Ndicho BAVICHA na Pro-Lowasa wanchofanya sasa kwa Lipumba na Slaa!
Kuhusu lipumba ni kweli msaliti,na anaclip akimpigia kikwete campaign msikitini
uongo ukisemwa sana ukaachwa hugeuka kuwa ukweli!Ndicho BAVICHA na Pro-Lowasa wanchofanya sasa kwa Lipumba na Slaa!
Wasalamu wanandugu,
Habari nilizozisikia hivi punde ni kwamba Prof. Ibrahim Lipumba ameondoka nchini na ndege ya Rwanda jana baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari.
Chanzo: Magazetini RFA
Na asipokuwa makini ataona account haina kitu ndo atajuta
tangia lini ccm mlianza kumpenda slaa? Vipi slaa siku hzi sio padri mzinifu? Slaa sio mwizi wa wake za watu?
Slaa kama una macho ya kuona mbali kumbuka hivi kalibuni hawa wanao kutetea walipnga njama kupitia mlinzi wako wakuwekee sumu. Lakini leo hii wamekuwa watetezi wako wakuu ili mradi tu wagawe ukawa. Nafikiri wewe slaa unaona walivyo mkaghai huyu jamaa said arfi sasa amebaki ana tanga tanga
Kuhusu lipumba ni kweli msaliti,na anaclip akimpigia kikwete campaign msikitini
Kuhusu lipumba ni kweli msaliti,na anaclip akimpigia kikwete campaign msikitini
Profesa mwingine ameendelea kuudhalilisha uprofesa
Mbona ndiyo zake toka zamani! Mwenye harakati za kweli ni Maalim Seif Sharif Hamad lakini huyo pimbi nimekuwa nikimhofia tangu zamani yuko kuisaidia CCM ishinde kwa kishindo!
Akirudi atakuta Lowassa ni rais, hata hatapata cheo chochote.
Anaenda wapi kufanya nini? Au ndio anaenda kuongezewa mpunga wa MICCM?? Ameshachelewa. Wana CUF tumeshafunguka siku nyingi
saed kubenea kupitia mawio la jana anasema wamegundua slaa anafanya mawasiliano na anashawishiwa asirejee ofisini na maafisa wa usalama wa taifa kwa kushirikiana na philip japhet mangula, mfundisheni kubenea ajifunze kubadilisha santuri, style hii ya kumchafua slaa inafanana kila kitu na style alofanya zitto.
Acha aondoke maana raia walivo na hasira wangeweza kumfanyia umafia.