Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Bora akapumzike kuliko unafiki wa viongozi wa ukawa, jana alikua fisadi leo ni mtu safi unafiki wa kijinga kabsa
 
anaenda kuchukua mgao wake ila ajue mabadiliko yapo palepale
 
Aendezake Kwanza Hana Mazala, Angesababisha Kafu Ijitoe Ukawa Hapo Sawa
 
Kweli huyu angeuawa na wana CUF...maana wana UKAWA, CUF wana hasira nae sana, amewasaliti sana kwa ajili ya fedha...hapo si chini ya 20 billions kavuta toka CCM kaondoka zake...

Alikuwa geresha tu kusema eti atakuwa mwanachama wa kawaida tu CUF, UKAWA...Mhuni sana huyu Prof... ndio maana CUF waliliona mapema Lipumba ni ADUI WA MABADILIKO...

Msaliti, mhuni mkubwa huyu

sindio maana akaenda kutangazia hotelini, angetangazia juzi cuf makao makuu wangemnyoosha vibaya,
 
Humu vimejazana vikundi viwili bavicha na team lowassa vinatiana ujinga,jf imevamiwa,bora uchaguzi uishe muondoke na mzoga wenu mrudi nao Facebook tuendelee na mambo mengine

acha ujinga wewe hujalazimishwa kuchangia.
 
Humu vimejazana vikundi viwili bavicha na team lowassa vinatiana ujinga,jf imevamiwa,bora uchaguzi uishe muondoke na mzoga wenu mrudi nao Facebook tuendelee na mambo mengine

kim ile video ukiliwa uroda hivi jamaa hakugusa 0713?
 
Prof. Lipumba katumia elimu yake huwezi kutolewa kwenye msimamo wako na mtu ambaye hajaenda shule. Hongera Prof. Lipumba na umeonyesha Uprof wako sio kuwa umeupata ki halali. Big up.
 
Bora limeenda Lipumbavu likafie hukohuko.Wtz tunahitaji tuing'oe ccm kwanza mambo mengine baadae.
 
Aende tu maana hakuna hata pengo aliloliacha ukawa kwani bado ushindi uko palepale tena asubuhi tu.
 
Akili za UKAWA bwana, akihongwa Mbowe tena 10B sawa sawa.
 
anaogopa kufanyiwa umafya na lile genge linalomzingira slaa asiongee na media, hata yeye mwenyewe juzi chupu chupu kufanyiwa mbaya ndo akaahirisha mkutano
tangia lini ccm mlianza kumpenda slaa? Vipi slaa siku hzi sio padri mzinifu? Slaa sio mwizi wa wake za watu?

Slaa kama una macho ya kuona mbali kumbuka hivi kalibuni hawa wanao kutetea walipnga njama kupitia mlinzi wako wakuwekee sumu. Lakini leo hii wamekuwa watetezi wako wakuu ili mradi tu wagawe ukawa. Nafikiri wewe slaa unaona walivyo mkaghai huyu jamaa said arfi sasa amebaki ana tanga tanga
 
Kula tano
 
Back
Top Bottom