Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Lipumba alipokea milioni 300 toka CCM mapema mwezi uliopita ili kuvuruga ukawa
 
Sijui wanasiasa wetu wengi wao ni watu wa Aina gani Mungu awasamehe but i believe we are going to get good leaders

Njaa inawasumbua sasa pesa za marehemu Gadafi toka Kwa Membe zimemfanya ajitoe Fahamu na kufanya hiki kioja cha mwaka, sasa wamemsafirisha kwenda kuficha pesa walizompatia .
 
wadau.

Akiwa amepewa sabuni ya roho ndani ya ulinzi unaomridhisha,huyu bwana aliyemsifia sana el siku alipojiunga ukawa kapanda ndege ya kagame rwandair kufika nairobi then aunganishe kenya airways mpaka uwanja uitwao oliver thambo...

Yadaiwa atatoka johannesburg baada ya siku tatu kwenda london.

Lengo ni kukwepa hasira za wana cuf aliowasaliti.

kujitoa ufahamu ni jambo baya sana. Lipumba kasimamia msimamo thabiti anaouamini.kawa mfano mzuri wa kuigwa, mzalendo wa kweli.
 
Maskini slaa hata kutoka hawezi ..
 
Wasalamu wanandugu,
Habari nilizozisikia hivi punde ni kwamba Prof.Ibrahim Lipumba ameondoka nchini na ndege ya Rwanda jana baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari.

Chanzo: Magazetini RFA

Hata kama simuungi mkono lowasa lakini kwa hili la prof.kujiuzulu na kuondoka nchini harakaharaka inatia shaka,kama kweli aliyoyazungumza ni kwa nafsi yake au kuna shinikizo.
 
Lipumba alipokea milioni 300 toka CCM mapema mwezi uliopita ili kuvuruga ukawa

Hiyo ya ccm imepigwa Panga na Madalali Nape na Makonda kwani Kinana aliwapa Bilion 1 pia Membe alitoa Dola million 1 kwa Ajili ya Lipumba na Dola million 2 kwa Ajili ya Dr Slaa . Nape na Makonda sasa wamejitajirisha kijanja kwa kuzipiga Panga pesa wanazopewa kwenda kuwanunua Ukawa .
 
Its true everybody got his/her price,

Prof. Kaamua kuturudisha reverse tusubiri tuone mwisho wake
 
Ana Njaa Kali sana huyo.
CCM walishamshughulikiA.
 
Mkiitwa nyumbu mnakuwa wakali ukweli ni kuwa bavicha na hao wanaojiita team lowasa me naona kweli ni kundi la nyumbu msiojua wapi mnatoka na wapi mnaelekea, mbaya zaidi mnaongozwa na mihemko, jifunzeni kutafakali mambo sio kumkurupukia kila anaetoka ukawa, bila kutafakali mtaendelea kuitwa wendawazim tena nyumbu kila siku na ukweli pamoja na matusi na kejeli kwa wasomi wanasiasa wakomavu wanaoendelea kuondoka ukawa haiko salama, acheni ubwege wa kukurupuka tafakuri inahitajika
 
atajua mwenyewe kilicho mpeleka hk kukwepa hasira za wana cuf hakupo kwan sasa naye ni mwanachama wa kawaida siasa noma
 
Ongoja akale per diem yake,kazi yake ameshamaliza!
 
Mkiitwa nyumbu mnakuwa wakali ukweli ni kuwa bavicha na hao wanaojiita team lowasa me naona kweli ni kundi la nyumbu msiojua wapi mnatoka na wapi mnaelekea, mbaya zaidi mnaongozwa na mihemko, jifunzeni kutafakali mambo sio kumkurupukia kila anaetoka ukawa, bila kutafakali mtaendelea kuitwa wendawazim tena nyumbu kila siku na ukweli pamoja na matusi na kejeli kwa wasomi wanasiasa wakomavu wanaoendelea kuondoka ukawa haiko salama, acheni ubwege wa kukurupuka tafakuri inahitajika
Haya kenge utakuwa kwenye msafara wa mamaba October 25
 
Soko la kuwanunua Ukawa kwa sasa linafanya vizuri kwa Upande wa Nape ambaye ndiye aliyekaa na kubuni mladi huo akisaidiana na Makonda . Sasa wanavuta pesa huku na huku pia kwa maadui wengine wa Lowasa huku wahindi wakichangishwa pia, Membe kaamua Kuyatumia Yale Mabilion ya Gadafi kuwanunua Ukawa na kumkomoa Lowasa huku Nape na timu yake wakitumia fursa hiyo hiyo kutafuna pesa zake kujanja( kufa kufaana) kipindi hiki maadui wa Lowasa wanaliwa pesa sana na Nape na Makonda kwa visingizio vya kuwanunua Ukawa.
 
Back
Top Bottom