Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Ee mwenyezi mungu, tunakushukuru kwa kuwafunua maadui wote wa mabadiliko...p
aibuuu! Aibuu kwa usaliti huu! Najua kale kamchezo ka mwaka 2010 kuisaport ccm ndio kamemchomoa, ila safari hii umejulikana mapema! Wapenda mabadiliko focus pale pale..ukawa ishinde.
 
Mungu anaonyesha maajabu take tuliokuwa tunajua in wana mageuzi kumbe sio in wasaliti mungu anawaumbua mmoja mmoja
 
Kitu kinaitwa feki kwa kushindwa ku pa-form huo u proff wake una walakini! Tunampuuza
 
Adhabu ya ccm ipo pale pale ataisikia uko alipo kuwa watanzania wameamua
 
Hakijaharibika kitu mwache akale alichopewa huku tuendelee na harakati zetu hadi huyu adui ang'oke madarakani
 
kuna kiongozi mwingine amesema amechelewa sana kufanya uamzi huu
 
bora aende zake. ubabaishaji ulizidi UKAWA

Wasalamu wanandugu,
Habari nilizozisikia hivi punde ni kwamba Prof.Ibrahim Lipumba ameondoka nchini na ndege ya Rwanda jana baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari.

Chanzo: Magazetini RFA
 
Kumbe alikuwa amejipanga kuondoka toka muda, huyu ni mtoto wa kimasikini sana lakini amesahau alikotoka.
 
Upuuzi kabisa hiyo hoja ya katiba anaiona Leo? Mbona walipokubaliana kumpokea lowasa hakuongea hiyo? Huo ni usaliti na unafiki.
 
Sijui wanasiasa wetu wengi wao ni watu wa Aina gani Mungu awasamehe but i believe we are going to get good leaders
 
Wasalamu wanandugu,
Habari nilizozisikia hivi punde ni kwamba Prof.Ibrahim Lipumba ameondoka nchini na ndege ya Rwanda jana baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari.

Chanzo: Magazetini RFA

Kaenda kumaliziwa mkwanja uliosalia pia kupanga mipango ya kuwabomoa zaidi Ukawa huku pia akitafuta Bank ya kuficha hayo Mapesa mengi aliyopewa na Membe toka kwenye lile Bulungutu la mipesa ya marehemu Gadafi , Safari yake imeratibiwa na kugharamiwa na membe akishirikiana na ccm na Madalali wa kuibomoa Ukawa wakiongozwa na Nape na Makonda.
 
Back
Top Bottom