Lipi ujinga zaidi???

Lipi ujinga zaidi???

halafu nani unamuonyesha urembo wako gizani usingizini? Na wewe unafikiria ujinga?
Inategemea, kama kuna aliyelala pembeni ndie anaeonyeshwa urembo...

Mie sifikirii ujinga manake huwa sijipodoi
 
Ujinga ni kumchukia mtu asiyejua unamchukia...unaumwa weee mwenzio ana raha tu.....!

Kwa hizo hapo juu, ujinga ni hiyo ya mwisho....tupime bwana,kufa kupo tu hata kwa malaria....lol
 
umetoa pregnant point.
 
Ujinga ni kumchukia mtu asiyejua unamchukia...unaumwa weee mwenzio ana raha tu.....!

Kwa hizo hapo juu, ujinga ni hiyo ya mwisho....tupime bwana,kufa kupo tu hata kwa malaria....lol
Kesho asubuhi tukutane pale ANGAZA, nilikuwa natafuta mtu wa kuniongoza, MJ1 alinikatisha tamaa lol.

Kuanzia leo nikimchukia mtu namwambia ili ajue kabisaaa!
 
Usijali kabisaa,kuwa specific ni angaza ya wapi ili nijue nachomoka home mida gani....usikatishwe tamaa na mtu, kifo kipo tu...!

Ukimchukia mtu we mpe za uso tu....maisha mafupi,unabaki na kitu kinakukaba roho,mwenzio ana raha zake....lol
 
Back
Top Bottom