Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
kwahiyo unataka nipige ramli.Nalog off
patience,patience!curiousity killed the cat
kwahiyo unataka nipige ramli.Nalog off
patience,patience!curiousity killed the cat
cat hana mpango wowote hata akifa poa tu ila wewe usikonde nakuja na zawadi zako.Nalog off
naomba unisamehe nitakuongezea zawadi zako.Nalog offumesemaaaaa?umenikera,nalog off
naomba unisamehe nitakuongezea zawadi zako.Nalog off
yani ni bora umeomba msamaha,ningekununia mpaka mwaka unaisha
oa Nalog off:thinking:
nashukuru kwa kunisamehe.Nalog off
Lol stevoh! Kuna ubaya gani mtu akilala mrembo?
Lol stevoh! Kuna ubaya gani mtu akilala mrembo?
Ha ha ha! Et binti mdogo unapinda mdomo!!!...lol. Nimepiga kapokea shemu, kanambia upo bafuni. Nimemwachia maagizo atakupatia...Nasubiri simu yako....hakikisha unapiga kabla sijalala,sipendi kuamshwa na simu....lol....vijiba vya roho ndo vinaleta stroke,binti mdogo unapinda mdomo na mikunjo kwenye ngozi....!!
Duh! Anaogopa kandambili zitalowa...lol
Ooh! Pole dear, nini zaidi? Sipati picha unavyodekewa lol. Wanaume wakiumwa wanajua kudeka wewe! Pole sana kwa kuuguliwa, mpe pole shemeji. Nikiweza ntapita jioni kuwapa hi.