Lipi ujinga zaidi???

Yote ni ujinga zaidi kuliko la mwisho, kukataa kupima wakati unataka kuishi zaidi.................majibu mengine yanawezafupisha maisha yako kwa presha lol!
 
Kulala na mtu kitanda kimoja halafu mnaamka asubuhi mnaulizana za asubuhi
 
yote ujinga, ila namba 4 zaidi, dr. huyu inabidi yeye ndo apelekwe psychiatric institute.
 
Yote ni ujinga zaidi kuliko la mwisho, kukataa kupima wakati unataka kuishi zaidi.................majibu mengine yanawezafupisha maisha yako kwa presha lol!
Hahaha! MJ1 bora kupima afu uishi kwa matumaini bana...ingawaje ni kweli majibu mengine yanaeza kuleta presha..lol
 
Mnauliza habari ya usiku kama mlifanya kale kashughuli ketu. Vipi mzima weye Sweetlady nimekumic weye mdada
Hahaha, kama hamjafanya je? Mwaamka kimya kimya au?

Mie mzima kabisa, hofu kwako! Ulipotelea wapi? Umeacha kulia?
 
Back
Top Bottom