Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,088
- 13,515
Hujui omba uelimishwe,acha kulisha watu matango pori.
wanafanya kwakua sio taarifa za siri mfano tamisemi wanatoa orodha ya walimu wapya walioajiriwa na serikali au wizara ya afya wanatoa list ya madaktari wapya au chuo kikuu cha daressalaam wanatoa orodha ya wanafunzi wapya au shirika linapost kwenye mtandao wake Mr so and so ameteuliwa kua mkurugenzi mkuu wa shirika hakuna usiri apo, ndio maana hautakuta taarifa ambayo haipo kwenye mtandao public
Hakuna kitu kama hicho, never on earth kuna kitu kinaitwa Privacy, kwa sababu tu jina langu lipo kwenye tovuti ya Tanpol doesn't mean wewe una ruhusa ya kufanya chochote na taarifa zangu. Hakuna hicho unachosema sijui ni kitu gani mpwawanafanya kwakua sio taarifa za siri mfano tamisemi wanatoa orodha ya walimu wapya walioajiriwa na serikali au wizara ya afya wanatoa list ya madaktari wapya au chuo kikuu cha daressalaam wanatoa orodha ya wanafunzi wapya au shirika linapost kwenye mtandao wake Mr so and so ameteuliwa kua mkurugenzi mkuu wa shirika hakuna usiri apo, ndio maana hautakuta taarifa ambayo haipo kwenye mtandao public
Ilibidi nitafute msosi nile kwanza maana hata sikumuelewa kabisa kabisa, nnikajua ni Mimi tu na ubishi wangu wa kikwetu...Ushawahi kutumia LinkedIn???? Mbona unaongea vitu ambavyo havipo. Kwanza haya unayoyasema hayawezekaniki huwez kukusanya taarifa za mtu bila ridhaa yake
HahaahahahaahhahDuh[emoji34]
Kwa maelezo haya haujawahi kutumia LinkedIn hata siku moja.wanafanya kwakua sio taarifa za siri mfano tamisemi wanatoa orodha ya walimu wapya walioajiriwa na serikali au wizara ya afya wanatoa list ya madaktari wapya au chuo kikuu cha daressalaam wanatoa orodha ya wanafunzi wapya au shirika linapost kwenye mtandao wake Mr so and so ameteuliwa kua mkurugenzi mkuu wa shirika hakuna usiri apo, ndio maana hautakuta taarifa ambayo haipo kwenye mtandao public
Hahahhahah hii conclusion babkubwaKwa maelezo haya haujawahi kutumia LinkedIn hata siku moja.
Huyu jamaa anatuona wote wajinga humu.Hahahhahah hii conclusion babkubwa
Hahahaha LinkedIn yake binafsi tena? Hahahaha yeah niko na followers 15,000+ very impressiveHuyu jamaa anatuona wote wajinga humu.
Watu tuna zaidi ya miaka 12 LinkedIn.
Sasa anavyotuambia ni uongo mtupu.
Alafu anakuwa mbishi. Yaani ni Bora kutojua na uombe msaada kuliko kutojua alafu ukajidai mjuaji alafu uonekane mjinga mara dufu.
Labda kama ana LinkedIn yake binafsi.
Mhhhh hii kali .............. CHAI.kama taarifa zako haziko LinkedIn basi huna taarifa zozote za kimtandao, mfano selection yako ya chuo ilipostiwa kwenye mtandao na jina lako, umepata ajira mpya na jina lako likawekwa mtandaoni kua umeajiriwa shirika flani position flani, au wewe mwenyewe kwa hiyari ukajaza taarifa zako kwenye social networks kama Facebook na tweeter historia yako ya kielimu na kazi unayofanya
Kwahiyo Mtu akigoogle jina lako lazima itakuja Link ya LinkedIn na taarifa izo zote...wao wana recruit taarifa automatic
Aise naomba nikaongeze idadi ya followers wako mkuu[emoji28][emoji28]Hahahaha LinkedIn yake binafsi tena? Hahahaha yeah niko na followers 15,000+ very impressive
Ha ha ha ha... I concurKwa maelezo haya haujawahi kutumia LinkedIn hata siku moja.
Mimi nina akaunti kule ila adi sasa sjaona faida yake..mkuu nisaidie niweze kujenga good profile ili nipate kazi.
tunashukuru kwa ushauri na hongera pia kama ulifanikiwa kupitia hao LinkedInLinkedIn si neno geni kwa wengi wetu, huu ni mtandao wa kijamii wa wataalamu, Professionals ambapo kila mtu ambaye yuko interested huweka Profile yake, hii hubeba Elimu, Kazi ulizowahi kufanya, na mambo mengine kama hayo.
Ni mtandao ambao hukutanisha watu wa aina mbali mbali lakini wakati huo huo ikitoa fursa za ajira kwa watu mbali mbali.
Recruiting Agencies, International Organizations, na Companies nyingi sana hutumia mtandao kutafuta Potential Candidates lakini wakati huo huo hata Job hunters ni fursa nzuri kutafuta kazi pia.
Kwa Tanzania nimekutana na changamaoto moja kubwa sana, hatujui kujiuza (kujieleza), ukifungua Profile ya BAADHI ya Vijana wa hapa Nyumbani utakuta kaandika vitu vya ajabu kweli, kumbukeni Profile yako inasomwa na dunia nzima, kuna mashirika mbali mbali ambayo yangependa kuja kuwekeza Tanzania na hivyo hua mara nyingi hukumbilia LinkedIn, imagine wanakuta umesomea kitu wanachokitaka na uzoefu unao lakini kujieleza kule kwa Lugha ile kunakuangusha, huwezi sogea.
Tuchukulie changamoto hii ya kujieleza kama ndio point yetu ya kutoka, ni wazi kuwa wengi tumefanikiwa kwa kupitia LinkedIn, usbaki nyuma.Kule sio Facebook au Twitter pale unakwenda kujiuza ili ujipime una soko kiasi gani kwenye dunia, kama unakosa hata call moja kwa watu uliomba kufanya kazi kwao, basi rudi kaangalie ulichokiandika.
Tukiweka profile ya mtu hapa kutoka LinkedIn utashangaa, nadhani kama unashindwa kuandika vizuri basi hata copy kwa mtu mwingine halafu badilisha ilete maana kidogo. Kumbuka LinkedIn unaweza kutengeneza na kuprint CV moja kwa moja, na ni acceptable Worldwide
Siku hizi pia kuna few scammers kwahio mkuwe makini piaUmeongea jambo LA msingi sana mkuu hapa nimejifunza kitu kuna mkenya alinichek nikampotezea.
Ila wakumbuke pia kutumia Grammaly as plug in kwenye chrome and other browser kusupport uandishi na marekebisho ya grammar.
N.B mkumbuke kulipa kodi mkipata kazi
sawa mkuuSiku hizi pia kuna few scammers kwahio mkuwe makini pia
Mkuu nakuekea link hapo upitie hio profile,then utaelewa umuhimu wa LinkedIn.Shida watanzania tuko nyuma sana ila watu wanatoboa kupitia huu mtandao
https://www.linkedin.com/in/frank-joel-mbise-a7898526