Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,504
- Thread starter
- #61
mim nipo huko mkuu,nilishapata mwaliko wa kaz uk kupitia huo mtandao walisoma profile yangu
Mpwa hongera sana, sijui kwanini watu hawaamini hii mitandao ila likija suala la Whatsapp na Facebook weeeeeee