LinkedIn na Wabongo, Tujitathmini

LinkedIn na Wabongo, Tujitathmini

Nitajie herufi za jina lako Mpwa
Jina lako mwenyewe nimelitafuta sijui kama ni lenyewe.

Ubini wako si ndio jina la Mganga wetu maarufu humu Jamvini mwenye kambi yake mitaa ya mkoa wa Pwani kuelekea Mkoa wa Mahaba?[emoji3]
 
Jina lako mwenyewe nimelitafuta sijui kama ni lenyewe.

Ubini wako si ndio jina la Mganga wetu maarufu humu Jamvini mwenye kambi yake mitaa ya mkoa wa Pwani kuelekea Mkoa wa Mahaba?[emoji3]
Hahahahhaahahahaa
 
Kwakweli labd kwa vile profile yangu haivutii
Na ni kwa sababu haina vingi vya kuvutia recruiters
Sasa mm ni fresh graduate
Sina experience ndio kwanza napamban kuipata
How ? How? LinkedIn can help me?
Course yenyewe nimethmin kwa harakat za online nilizopamban nimeona soko lake online halipo, yaan bora door to door

Good luck wenye PROFILE zenu LinkedIn though don't give up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom