LinkedIn na Wabongo, Tujitathmini

LinkedIn na Wabongo, Tujitathmini

Elli bora umewazindua wale wasioweza kujiuza wakisahau kuwa ukikubali kuajiriwa maana yake huna tofauti na bidhaa...
Mpwa umepotea kabisa au umebadilisha USER ID? wewe ndio ilipigwa kibomu na Dada wa jukwaa ukakimbia??
 
Mie nina a very good friend anaitwa viveka von rosen alishawahi kuandika kitabu jinsi ya kujiuza ndani ya linkedin

Kitabu kinaitwa linkedin marketing

Mnaweza kukitafuta kitawapa atleast a, b, na c
Haya kazi kwenu kwa Job Hunters
 
Wadangaji hawa nao hawapo nyuma.
Screenshot_20200405-195157.png
 
Ninachojua LinkedIn inakusanya taarifa zako zinazokuhusu kutoka sources mbalimbali za mitandao japo unaweza fungua account pia yaani inakusanya taarifa zako za kitaaluma na kiprofesional yenyewe hata kama hujajiunga lengo kuwasaidia watu wanaokutafuta au wanaotaka kukujua zaidi na watu wengi wanaopenda privacy hawaipendi kabisa,
Mfano Mimi sijawai jiunga LinkedIn laki wao wanazo taarifa zangu.
 
Duh hii mpya sasa.
 
Sio kweli mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachojua LinkedIn inakusanya taarifa zako zinazokuhusu kutoka sources mbalimbali za mitandao japo unaweza fungua account pia yaani inakusanya taarifa zako za kitaaluma na kiprofesional yenyewe hata kama hujajiunga lengo kuwasaidia watu wanaokutafuta au wanaotaka kukujua zaidi na watu wengi wanaopenda privacy hawaipendi kabisa,
Mfano Mimi sijawai jiunga LinkedIn laki wao wanazo taarifa zangu.
Watu gani wasioipenda?? Kama nani???
 
Duh sijawahi sikia kitu kama hiki....
kama taarifa zako haziko LinkedIn basi huna taarifa zozote za kimtandao, mfano selection yako ya chuo ilipostiwa kwenye mtandao na jina lako, umepata ajira mpya na jina lako likawekwa mtandaoni kua umeajiriwa shirika flani position flani, au wewe mwenyewe kwa hiyari ukajaza taarifa zako kwenye social networks kama Facebook na tweeter historia yako ya kielimu na kazi unayofanya
Kwahiyo Mtu akigoogle jina lako lazima itakuja Link ya LinkedIn na taarifa izo zote...wao wana recruit taarifa automatic
 
Hahahaha basi kama ni hivuo kila MTU angekua huko. Kwahio wao hawana Terms and Conditions? Mbona wangekua wameshakua sued kitambo sana? Yaani ukusanye taarifa za MTU from nowhere uposti kwenye mtandao wako? Kweli??
 
wanafanya kwakua sio taarifa za siri mfano tamisemi wanatoa orodha ya walimu wapya walioajiriwa na serikali au wizara ya afya wanatoa list ya madaktari wapya au chuo kikuu cha daressalaam wanatoa orodha ya wanafunzi wapya au shirika linapost kwenye mtandao wake Mr so and so ameteuliwa kua mkurugenzi mkuu wa shirika hakuna usiri apo, ndio maana hautakuta taarifa ambayo haipo kwenye mtandao public
 
kama taarifa zako haziko LinkedIn basi huna taarifa zozote za kimtandao, mfano selection yako ya chuo ilipostiwa kwenye mtandao na jina lako, umepata ajira mpya na jina lako likawekwa mtandaoni kua umeajiriwa shirika flani position flani, au wewe mwenyewe kwa hiyari ukajaza taarifa zako kwenye social networks kama Facebook na tweeter historia yako ya kielimu na kazi unayofanya
Kwahiyo Mtu akigoogle jina lako lazima itakuja Link ya LinkedIn na taarifa izo zote...wao wana recruit taarifa automatic
Duh[emoji34]
 
Back
Top Bottom